Bwana harusi mtarajiwa afariki akienda kutoa mahari

Una maanisha kwamba ajali ina kinga au [emoji6]
Ndiyo maana kuna Alama za barabarani, ndiyo maana kuna sheria, ndiyo maana kuna ukaguzi na kadhalika, kwa mtu mwenye elimu hawezi kuuliza swali la kijinga kama hilo, narudia tena swali la kijinga sijasema swali la kipumbavu
 
Kwa mtu mwenye imani naamini anajua licha ya kuwepo kwa alama za barabarani na sheria za vyombo vya moto lkn bado Ajali haina kinga M/Mungu akishapanga lake halikwepeki.. sina maana kuwa wewe huna imani [emoji5] [emoji5]
 
Wewe bado unahitaji elimu zaidi ya usalama barabarani, huwezi kulewa chakali na ukawa unaendesha gari usiku kwenda safari ya mbali ukitegemea kufika Salama eti ajali haina kinga, au unafika kwenye trafick light unaona kabisa red wewe unaenda tu eti ajali haina kinga lazima utakuwa na matatizo makubwa
 
Sidhani km Marehemu alikuwa amelewa chakari mpk hajielewi[emoji124] [emoji124]
 
Pumzika kwa amani Michael, pia pole sana Vivian kwa kuondokewa na mchumba wake kipenzi
 
Sidhani km Marehemu alikuwa amelewa chakari mpk hajielewi[emoji124] [emoji124]
Ndiyo maana nikasema walitakiwa kupeana zamu ya wengine wanalala na wengine wanaongea na dereva kama tahadhari ili na dereva asipitiwe na usingizi
 
Mungu Amlaze mahali pema peponi ndugu yetu Michael. Kimsingi barabara ya kutoka mwanga hadi same siyo nzuri sana kuendesha kwa speed maana ina viraka vingi barabarani na pia kuna sehemu kuna upepo makali sana na ukizinngatia alama zote za barabarani unaweza kufika salama
 
Una maanisha kwamba ajali ina kinga au [emoji6]
Ajali ina kinga. Ukianangalia trend ya ajali za mabasi kabla ya trafic police kuwabana madreva wa mabasi wazingatie mwendo wa mabasi na sasa hivi, ni wazi ajali hasa za mabasi zimepungua sana. Huoni kuwa hiyo ni kinga ya ajali za mabasi?
 
Back
Top Bottom