Bwana harusi mtarajiwa afariki akienda kutoa mahari

Vijana hata uzoefu wa mwaka 1 wa driving hauna unasafiri masafa marefu kwani mkienda kwa bus kutoa mahari kuna tatizo?
Kutumia usafiri wa binafsi kunarahisha mambo. Kinachotakiwa kuchukuliwa tu ni tahadhari: 1. Gari ni zima na limefanyiwa service zote? 2. Dereva anajua kuendesha gari vizuri hasa safari za mbali? 3. Mwendo unaotumika ni wa wastani? Nasema hivi kwa sababu Tanzania vijana wengi wanang'ang'ania kuendesha magari bila kuwa na ujuzi wa kutosha. Mtu anaona safari kama hiyo akimpa gari mtu mwingine atachekwa!
 
Siku zote wanasema mnapokuwa kwenye safari na hasa wakati wa usiku hakikisheni msilale wote mkamuacha dereva peke yake akiendesha bila kuwa na mtu wa kuongea naye ili asije akapitiwa na usingizi maana naye ni binadamu
kabisa
 
Safari za usiku sio nzuri basi tu kuna wakati inabidi.

Apumzike kwa amani.
 
Kutumia usafiri wa binafsi kunarahisha mambo. Kinachotakiwa kuchukuliwa tu ni tahadhari: 1. Gari ni zima na limefanyiwa service zote? 2. Dereva anajua kuendesha gari vizuri hasa safari za mbali? 3. Mwendo unaotumika ni wa wastani? Nasema hivi kwa sababu Tanzania vijana wengi wanang'ang'ania kuendesha magari bila kuwa na ujuzi wa kutosha. Mtu anaona safari kama hiyo akimpa gari mtu mwingine atachekwa!
sure kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuendesha gari mjini na kwenda across mikoa coz mambo mengi yanabadilika ikiwemo mwendo na hali ya barabara plus watu unaokutana nao baranarani.
 
Mimi ndio bingwa wa safari za usiku naomba Mungu aendelee kunilinda tu.

Poleni wafiwa
mm huwa naona tabu sana kuendesha usiku huwa nahisi kama uwezo wa kuona unapungua ata yale matuta na alama zinakua hazionekani vzuri so inabd uconcentrate sana..ata nikiliamsha saa kumi huwa najifeel safe zaidi kukianza pambazuka kuanzia kumi na mbili hv.
 
Siku zote wanasema mnapokuwa kwenye safari na hasa wakati wa usiku hakikisheni msilale wote mkamuacha dereva peke yake akiendesha bila kuwa na mtu wa kuongea naye ili asije akapitiwa na usingizi maana naye ni binadamu
Hilo ndilo haswa lililojiri hapo. R.I.P .
 
Mimi ndio bingwa wa safari za usiku naomba Mungu aendelee kunilinda tu.

Poleni wafiwa
Safari za ucku ni nzuri kwa wazoefu wa barabara,mimi huwa nasafiri ucku ili niingie alfajiri saa 9 au 10.ni miaka mingi nafanya hivyo
 
mm huwa naona tabu sana kuendesha usiku huwa nahisi kama uwezo wa kuona unapungua ata yale matuta na alama zinakua hazionekani vzuri so inabd uconcentrate sana..ata nikiliamsha saa kumi huwa najifeel safe zaidi kukianza oambazuka kuanzia kumi na mbili hv.
Mm kutoka dar kwnd dodoma na dar kwenda arusha nadhani nmeshakariri hizo barabara vzr sn kwa sababu haiwezi kuisha mwezi sijapita njia hizo,tatizo kubwa usiku ni malori yaliyoharibika njiani halaf hawaweki alama
 
Sure
 
Back
Top Bottom