Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Oooh Mungu epusha haya mambo jamani
Itakuwa kazoea kuendesha dsm tu.R.I.P MAN KAMA HUNA UDHOEFU NA BARABARA USIPENDE KUENDESHA USIKU MASAFA MAREFU
Ajali haina kinga mkuu..Siku zote wanasema mnapokuwa kwenye safari na hasa wakati wa usiku hakikisheni msilale wote mkamuacha dereva peke yake akiendesha bila kuwa na mtu wa kuongea naye ili asije akapitiwa na usingizi maana naye ni binadamu
Hizo ni methali za ki zamani sana toka enzi za zinjathropusAjali haina kinga mkuu..
BTW R.I.P MICHAEL, MBELE YAKO NYUMA YETU