Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
Yaani sababu za kimila huyu mama anadai alioteshwa afunge ndoa na huyu mtoto wa miaka 9, so huyu mtoto wa miaka tisa kwa 'bwana harusi mdogo kuliko wote duniani.

South wana mambo, mila hizi anadai angedharau angepata mikosi.

==============

ni uchafuzi kuoteshwa gani huku kama sio mambo ya kishirikina
 
Hapa the kiss ....bwana harusi akipata busu la bibi harusi..lol

Mmmmnh... Hiyo ni laana..! Unaanzaje kumvulia nguo huyo mtoto?
 
Mmmmnh... Hiyo ni laana..! Unaanzaje kumvulia nguo huyo mtoto?

hawa sex...huyo mama ana watoto na ana mume
but anadai kaoteshwa afunge ndoa na huyo mtoto
so ni ndoa tu ya harusi but no sex...
 
hawa sex...huyo mama ana watoto na ana mume
but anadai kaoteshwa afunge ndoa na huyo mtoto
so ni ndoa tu ya harusi but no sex...

Huko ni kuoteshwa ndoa au atakuwa ameoteshwa amchukue huyo mtoto na kumlea kama mwanae..!

Kama hakuna sex basi hakuna ndoa hapo..! Ila ni mambo ya kushangaza sana...

Mumewe nae kama juha anasherekea harusi ya mkewe na mtoto wa miaka 9.. Lol
 
inawezekana hata wewe umeoteshwa kitu na mababu zako umedharau tu
matokeo yake pesa unapata hata baiskeli hununui lol
kumbe mababu wamekwambia mgaie boss vitamu fast lol umedharau...
 
hawa nao wanaenda honey moon!??? itabid super shaft za kutosha zifungwe kwa ajiri ya safari.... vitz inavuta semi trela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…