Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,387
Wanyarwanda ndivyo walivyo ndio maana 1994 wakachinjanaKuna mtu fulani kwa nafasi yake katika jamii,hakuna ambacho anaweza kukihitaji na kukikosa na hakuna atakachotamani asikipate.
Hata hivyo,bwana huyu amewahi kulalamika hadharani kuwa ana frustrations jambo ambalo liliwashangaza watu wengi kwani kwa nafasi yake hastahili kuwa na frustrations unless ana matatizo na mkewe maana zaidi ya hapo hakuna kingine cha kumletea frustrations zaidi tu ya chuki alionayo dhidi ya kundi fulani katika jamii.
Bahata mbaya sana,chuki yake hii ikichanganyika na ukweli kwamba ameshindwa ku-deliver,basi chuki hii huongezeka maradufu na matokeo yake hajiamini na anajikuta anaishi kwa hofu tu japo ana ulinzi masaa 24 siku 7 za wiki.
Kwa upande mwingine,chuki yake hii imegeuka neema kwa watu anaowatumia ili wawaangamize asiowapenda kwani anawapa ulaji ila kwa kazi ambayo mpaka leo imewashinda.
Unafanya maamuzi kwa chuki kufaidisha wengine na kibaya zaidi hao wanaonufaika na maamuzi yako ya chuki hawabadili hali halisi iliyopo zaidi tu ya wao kupata ulaji huku wewe ukiendelea na frustrations zako.
Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
Nimekubali huyu mtu sio mbongo.Yaani yuko radhi kugawa vyeo kwa watu anaowatumia kutesa wabaya wake kama namna ya kuwalipa fadhila!!!Wanyarwanda ndivyo walivyo ndio maana 1994 wakachinjana
Kwani mkuu likifa kwa stress sisi itatuhusu nini??Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
Kama wewe??Kwenye utawala la Rais Magufuli tutapata wapiga ramli wengi sana!
Eti??? Acha lidanje tuuKwani mkuu likifa kwa stress sisi itatuhusu nini??
Acha ujinga,siku mojamoja unatakiwa kuja na mada na namna ya jinsi vijana wanatakiwa kutumia fursa zilizopo nchini ili kujijenga vyema kwenye uchumi wa mmoja mmoja, haya mambo unayoyaleta hayana muhimu wowote zaidi unaonekana fala na mtu mmoja mbea mbea au vuvuzela.unapoteza nguvu nyingi sana kumuongelea mtu ambaye atakutawala kwa miaka mingine saba ijayo,na huna lolote la kumfanya zaidi ya mbwela na utajibiwa na watu kama wakina sisi.Kuna mtu fulani kwa nafasi yake katika jamii,hakuna ambacho anaweza kukihitaji na kukikosa na hakuna atakachotamani asikipate.
Hata hivyo,bwana huyu amewahi kulalamika hadharani kuwa ana frustrations jambo ambalo liliwashangaza watu wengi kwani kwa nafasi yake hastahili kuwa na frustrations unless ana matatizo na mkewe maana zaidi ya hapo hakuna kingine cha kumletea frustrations zaidi tu ya chuki alionayo dhidi ya kundi fulani katika jamii.
Bahata mbaya sana,chuki yake hii ikichanganyika na ukweli kwamba ameshindwa ku-deliver,basi chuki hii huongezeka maradufu na matokeo yake hajiamini na anajikuta anaishi kwa hofu tu japo ana ulinzi masaa 24 siku 7 za wiki.
Kwa upande mwingine,chuki yake hii imegeuka neema kwa watu anaowatumia ili wawaangamize asiowapenda kwani anawapa ulaji ila kwa kazi ambayo mpaka leo imewashinda.
Unafanya maamuzi kwa chuki kufaidisha wengine na kibaya zaidi hao wanaonufaika na maamuzi yako ya chuki hawabadili hali halisi iliyopo zaidi tu ya wao kupata ulaji huku wewe ukiendelea na frustrations zako.
Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
NJAA KALI SANA.Kwenye utawala la Rais Magufuli tutapata wapiga ramli wengi sana!
Kama imekuuma kajitundike!Acha ujinga,siku mojamoja unatakiwa kuja na mada na namna ya jinsi vijana wanatakiwa kutumia fursa zilizopo nchini ili kujijenga vyema kwenye uchumi wa mmoja mmoja, haya mambo unayoyaleta hayana muhimu wowote zaidi unaonekana fala na mtu mmoja mbea mbea au vuvuzela.unapoteza nguvu nyingi sana kumuongelea mtu ambaye atakutawala kwa miaka mingine saba ijayo,na huna lolote la kumfanya zaidi ya mbwela na utajibiwa na watu kama wakina sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa za uchumi ziko kwa wenye kadi za CCM, ndiyo maana mnahangaika na propaganda huku uchumi unaelekea shimoni. Lakini tutakula sahani moja hii keki mnayojigawia tutaidokoa tu.Acha ujinga,siku mojamoja unatakiwa kuja na mada na namna ya jinsi vijana wanatakiwa kutumia fursa zilizopo nchini ili kujijenga vyema kwenye uchumi wa mmoja mmoja, haya mambo unayoyaleta hayana muhimu wowote zaidi unaonekana fala na mtu mmoja mbea mbea au vuvuzela.unapoteza nguvu nyingi sana kumuongelea mtu ambaye atakutawala kwa miaka mingine saba ijayo,na huna lolote la kumfanya zaidi ya mbwela na utajibiwa na watu kama wakina sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa za uchumi ziko kwa wenye kadi za CCM, ndiyo maana mnahangaika na propaganda huku uchumi unaelekea shimoni. Lakini tutakula sahani moja hii keki mnayojigawia tutaidoa tu.
Hakika huyu jamaa ana roho mbaya ya kupindukia!Kuna mtu fulani kwa nafasi yake katika jamii,hakuna ambacho anaweza kukihitaji na kukikosa na hakuna atakachotamani asikipate.
Hata hivyo,bwana huyu amewahi kulalamika hadharani kuwa ana frustrations jambo ambalo liliwashangaza watu wengi kwani kwa nafasi yake hastahili kuwa na frustrations unless ana matatizo na mkewe maana zaidi ya hapo hakuna kingine cha kumletea frustrations zaidi tu ya chuki alionayo dhidi ya kundi fulani katika jamii.
Bahata mbaya sana,chuki yake hii ikichanganyika na ukweli kwamba ameshindwa ku-deliver,basi chuki hii huongezeka maradufu na matokeo yake hajiamini na anajikuta anaishi kwa hofu tu japo ana ulinzi masaa 24 siku 7 za wiki.
Kwa upande mwingine,chuki yake hii imegeuka neema kwa watu anaowatumia ili wawaangamize asiowapenda kwani anawapa ulaji ila kwa kazi ambayo mpaka leo imewashinda.
Unafanya maamuzi kwa chuki kufaidisha wengine na kibaya zaidi hao wanaonufaika na maamuzi yako ya chuki hawabadili hali halisi iliyopo zaidi tu ya wao kupata ulaji huku wewe ukiendelea na frustrations zako.
Bwana wewe acha chuki kwani ni mzigo na ni hatari kwa afya yako na hapo ulipo unapita tu wala hutadumu milele.
Kweli muda unaenda tunaomba uende haraka, maana vitimbwi vyenu visivyo na maana watu wamevibaini.
Na unazidi kuzeeka kama una 30 magu atatoka ukiwa na 37 sasa ata kama muda uende haraka kiasi gani wewe tayari ushakuwa babu. Muda hausimami.Kweli muda unaenda tunaomba uende haraka, maana vitimbwi vyenu visivyo na maana watu wamevibaini.
Yeye ameleta mtazamo wake wewe unaweza kuja na hizo mada zinazohusu vijana na kujikwamua maana hujakatazwa hio inaitwa mgawanyiko wa kuhabarisha watuAcha ujinga,siku mojamoja unatakiwa kuja na mada na namna ya jinsi vijana wanatakiwa kutumia fursa zilizopo nchini ili kujijenga vyema kwenye uchumi wa mmoja mmoja, haya mambo unayoyaleta hayana muhimu wowote zaidi unaonekana fala na mtu mmoja mbea mbea au vuvuzela.unapoteza nguvu nyingi sana kumuongelea mtu ambaye atakutawala kwa miaka mingine saba ijayo,na huna lolote la kumfanya zaidi ya mbwela na utajibiwa na watu kama wakina sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ametajwa wapi kwenye hii topic bazazi wewe?Kwenye utawala la Rais Magufuli tutapata wapiga ramli wengi sana!
Ana roho ya kishetani!!Hakika huyu jamaa ana roho mbaya ya kupindukia!