Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,004
Kama una nia nzuri kweli na huyo binti fuata ushauri huu hapa. Akijifanya kichwa ngumu asije kulaumu baadaeHuyo kuna kijamaa kinamtoa kweny reli aache kuchukua ujuzi akapewa mimba ,baadae atakuja kusumbua hiyo age mabint wanasumbua sana .