Unajuwa Wakristo wangekuwa wavivu wa kufikiri na ingekuwa ni jamii Duni basi wangesema Umaskini wao umesababishwa na Waislamu maana kina Yusuph Manji, Mohamedi Dewji and likes wote au wengi wao ni Waislamu, kinachonishangaza mimi ni hawa Waislamu wa Sunni na Wahabi mpaka sasa hawajui hasa tatizo lao ni lipi.
Kuna watu wajinga kama Mohamed Said, hawajui misingi iliyojengwa hadi Tanzania ikaitwa kisiwa cha amani...wanadhani amani hiyo ilishushwa tu kama manna kutoka mbinguni. Sasa wasubiri kuvuna walichokuwa wakikitafuta...kuna "red line" haikutakiwa kuvukwa! Wafuasi wake vipofu kama zomba, Ritz na wengineo kama kweli maji mmeyavulia nguo, sasa mkae tayari kuyaoga. Nina hakika wako Waislaam wengi tu wanaungana na wazalendo wa kweli wa taifa hili wasiokubaliana na haya matendo yenu ya kihuni kwa kutumia kivuli cha dini...enough is enough!
Nimeibandika kama ilivyo nilipoitoa, na mimi naisoma sawa tu na kama posts zingine zote, unapedekeza fonts zipi? au unaweza kuboya "reply with quote" ukakui edit kwa font unayoipenda ukaisoma, ukimaliza uka cancel kui post.
Ritz, kwa ufahamisho tu mimi si mfuasi wa Dr. Slaa, mimi nalichukia genge hili la wezi lililokamata madaraka ya nchi, CCM. Yawezekana kwa msimamo wangu huo sipishani sana na msimamo wa Dr. Slaa lakini kwa mara nyingine naomba nikuhakikishie kuwa mimi si Chadema ila nakubaliana nao kwa kudai na kutetea maslahi ya wananchi na mali zao. Kama kwa kufanya hivyo utanibatiza Chadema, so be it!Wewe si mfuasi wa Dr Slaa.
Muulize Mufti wenu.Hujui unachoongea wewe ukisikia watu wanaongea wewe unadakia tu wahabi nini? Unajua maana ya neno wahabi?
Ndio maana nakuambia sio kila unachokisikia unaropoka hujui wahabi ni nini... Tanzania hakuna Mufti.Muulize Mufti wenu.
Na yule Sheikh Shabaan Simba ni nani? na ni kwa nini mlitaka kwenda kumng'oa mtu ambaye hayupo? I can't believe it.Ndio maana nakuambia sio kila unachokisikia unaropoka hujui wahabi ni nini... Tanzania hakuna Mufti.
Ritz, kwa ufahamisho tu mimi si mfuasi wa Dr. Slaa, mimi nalichukia genge hili la wezi lililokamata madaraka ya nchi, CCM. Yawezekana kwa msimamo wangu huo sipishani sana na msimamo wa Dr. Slaa lakini kwa mara nyingine naomba nikuhakikishie kuwa mimi si Chadema ila nakubaliana nao kwa kudai na kutetea maslahi ya wananchi na mali zao. Kama kwa kufanya hivyo utanibatiza Chadema, so be it!
Kwa msingi huo nachukia genge lingine la kihuni linalojaribu kuhatarisha amani ya taifa langu kwa kivuli cha dini, Uislaam. Kama kwa kufanya hivyo uko tayari kunibatiza Mkristo so be it! Ila nina hakika wapo pia Waislaam wema wengi tu watakaoniunga mkono kwa msimamo wangu huo. Niko tofauti na wewe Ritz unayekaa kimya CCM ikiitafuna nchi na wahuni wakiivuruga amani ya nchi kwa kivuli cha dini!
Na yule Sheikh Shabaan Simba ni nani? na ni kwa nini mlitaka kwenda kumng'oa mtu ambaye hayupo? I can't believe it.
Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa nyinyi viumbe, mnashindwa vipi wote kuingia Bakwata na kufanya mabadiliko mnayoyataka? Bakwata itakuwa chombo bora kivipi wakati nyinyi wahusika mko pembeni na kazi yenu ni kuinyooshea kidole tu? If can't beat them then join them.Kumbe unaongelea Mufti wa Bakwata.
Huyu hapa, usimchoke tuu:
Mwalimu Julius K. Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam
Dola na Tatizo la Udini Tanzania
Mohamed Said
Historia ni kitu kimoja na uchochezi kwa kutumia historia ni jambo jingine.Mohamed said, atabaki kuwa mwanahistoria mwenye kumbumbuku sahihi kuhusu Tanganyika (Tanzania ya sasa)pamoja na kusemwa sana na wasiopenda ukweli lakini mzee huyu anaeleza mambo mengi ya msingi.
Kapanda SPEED BOAT yuko YEMEN?