Jamani ndo tuko kwenye vituo tulivyopangiwa kwa ajili ya training
Vipi ndugu zetu Wengine na nyie mshafika vituoni
Uonapo taarifa Hii please mjuze na mwingine
Me natoka kata ya BUNJU kinondoni D's.m
Naomba kuwasilisha
Vituo ni sehemu zile ambazo huwa zinatumika kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu. Mara nyingi ni majengo ya shule za msingi au sekondari, vyuo vya serikali na ofisi za serikali. Lakini kwa maelezo zaidi waweza enda ofisi ya serikali ya mtaa wako wakakuelekeza zaidi.