Buzwagi wamsubiri Dr. Slaa kwa hamu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Buzwagi wamsubiri Dr. Slaa kwa hamu!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 9, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Vi "nzi" vilivyotangulia mitaa ya Buzwagi machimbo ambayo yalichangia kuipa chati na Zitto Kabwe ujiko wa pekee katika siasa za Tanzania vinadokeza kuwa wananchi wa huko wanasubiri kwa hamu kumsikia Dr. Slaa atakapopita huko na ujumbe wa mabadiliko ya taifa...

  Wanakijiji wanasubiri kwa hamu kuweza kuonesha hasira "yao"... sijui manake nini..

  Habari ndiyo hiyo!!
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tumekaa mkao wa kula kujuzwa ya huko mkuu!!
  Inatia moyo kuona mabadiliko yako pia huko!!!!

  CCM kazi ipo this season!!
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  tunaomba mtuwekee hata picha jamani
   
 4. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wanataka kueleza hisia zao kuwa wakati watoto wao wanazama kwenda kuchukua vito kule handakini,kila wanapotoka hawaoni kitu,ila kwa wajanja ni vichuguu virefu tu vinaota. Wamegundua kuwa kumbe yale mahandaki ndo nyuma zao za baadae watakazo share na chatu na nguruwe pori hapo baadae,hivyo wanaomba usaidizi
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Inakera unaposikia tambo na porojo za uongo za ccm wakati wanajua........saaizi utasikia oooooh tumewasaidia sana wananchi wa buzwagi wkt wananchi wenyewe wanaona hali halisi.............mtupeni data kamili dr.akitua huko..........
   
Loading...