Nchi hiii ishauzwa!Ni siku moja kabla ya maandamano makubwa kufanyika kuelekea katika mgodi mkubwa wa dhahabu mkoani shinyanga wilayani kahama. maandamano hayo ya amani yatafanyika kwa ajili ya kupinga ubaguzi unaofanyika wilayani kahama juu ya swala la umeme na mengine mengi. jaman wazee kwa vijana tujitokezeni wote kwa pamoja kwani nguvu ya umma haishindwi kitu.
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia
leo chadema wana mkutano pale fantoom kahama. ngoja nkawasikilize wanasemaje. miaWatz hatujui haki na sheria zetu?MAANDAMANO HAYAOMBWI BALI UANDALIWA UTARATIBU WA KUWAJULISHA POLISI tunaowalipa mishahala kwa kodi zetu ili wawalinde waandamanaji wasidhurike.HIYO NDIYO SHERIA.Husiulize Cdm wanasemaje kwan si wao pekee wanaoona unyonyaji huu. Lakn pia ni vizur kuuliza kwan siku hizi kila penyekudai haki cdm inahusika. Good qtn.
Mnashindana na makaburu,mandela walimshinda,we hangaikia UGALI WAKO
mkuu mbona jana afande magala kasema eti ameyafuta?. kwa upande wa chadema wanasemaje? simu ya katibu kahama haipatikani. mia
Afadhali mkuu umemjibu kwa hekima ningemjibu mimi huenda ningekuwa tayari naninginia kwenye ban asante mkuu kwa kunikinga na ban,. maana mijitu mingine inakera sijui ndio mifisadi yenyewe???kuna msemo wazungu wanasema "i can rise my success through your failure or i can become much stronger through your weakness" hizi kauli zinaoyesha kama tukiendelea kuwa wanyonge basi walala heri wataendelea kutupapasa matakoni ss walala hoi. ebu acha zana za kikoloni wangu AMKA KAKA....
kuna msemo wazungu wanasema "i can rise my success through your failure or i can become much stronger through your weakness" hizi kauli zinaoyesha kama tukiendelea kuwa wanyonge basi walala heri wataendelea kutupapasa matakoni ss walala hoi. ebu acha zana za kikoloni wangu AMKA KAKA....
Ni siku moja kabla ya maandamano makubwa kufanyika kuelekea katika mgodi mkubwa wa dhahabu mkoani shinyanga wilayani kahama. maandamano hayo ya amani yatafanyika kwa ajili ya kupinga ubaguzi unaofanyika wilayani kahama juu ya swala la umeme na mengine mengi. jaman wazee kwa vijana tujitokezeni wote kwa pamoja kwani nguvu ya umma haishindwi kitu.