DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kuwa tishio la watu kupigwa risasi liliwafanya mamilioni ya wananchi kubaki majumbani. Alisema kuwa takribani watu milioni tano waliambiwa wabaki ndani na walitii agizo hilo.
Ameongeza kuwa vijana waliokabiliana na Jeshi la Polisi wanatoka katika familia zetu wenyewe, na kwamba sisi ndiyo walezi wa vijana hao. Ameyasema hayo tarehe 19 Januari 2026.
Ameongeza kuwa vijana waliokabiliana na Jeshi la Polisi wanatoka katika familia zetu wenyewe, na kwamba sisi ndiyo walezi wa vijana hao. Ameyasema hayo tarehe 19 Januari 2026.