Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema hajui aliyekiwa Balozi, Humphrey Polepole, alipo hadi sasa ingawa mara kadhaa alikuwa akikutana naye.
"Kabla ya kuacha kazi aliniambia, nifanyaje? Nikasema sikiliza ridhaa yako, lakini mara ya mwisho nilishuhudia video mtandaoni kwamba ni kwake pamevamiwa."
Butiku amesema hayo, leo, Januari 19, 2026, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.