Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

kunamambo mawili hajayaweka bayana
  1. CCM haitasubiri miaka kumi, tayari kimeanza kutoka madarakani
  2. CCM haielekei/hainamuelekeo wa kutumia mabavu, ilishaanza kitambo sana

ni hivi , BUTIKU AMEZUNGUMZIA KUPOTEA KABISA KWA CCM NA VIBARAKA WAKE ( YAANI HAWA BUKU 7 NK ) , LAKINI HILI LA KUFA LINAFAHAMIKA NA KILA MTU .
 
Yaani kelele zote hizo Mzee Butiku ni kwa vile Rasimu yao ya Katiba imerekosolewa?
Kwanza Mzee Butiku kabla ya kuhoji uadilifu wa Serikali ya CCM atuleze
- Fedha walizopewa na Sabodo ili waendeshe bahati nasibu ziko wapi?
- Fedha alizotoa Rais Museni ziko wapi?
- Mradi wa Joint venture wa Compelex baina ya Mwalimu Nyerere Foundation na China Railway Jianchang Engineering Company umeishia wapi?
 
Kweli kabisa wote wanaotajwatajwa, na hata hao walojificha bado, kuwania 'urais' wa Tanzania hawawezi kuwa 'Nyerere'! Na hata Nyerere angekuwa miongoni mwao pia asingekuwa 'Nyerere' maana 'KILA ZAMA INA KITABU CHAKE!'
MZEE WETU BUTIKU usituvunje moyo bali uwe nasi, kama mwana CCM, kutusaidia kumpata aliye bora miongoni mwa hao wachafu wetu kama mgombea wetu wa urais!
KUANZA NA DHANA YA KUPATA MALAIKA NI DALILI NZURI SANA YA KUSHINDWA!

Na kuanza na kumweka mkuu wa mashetani nayo haifai
 
asante #BUTIKU . Huo ndo ukweli. na kimsingi,hakuna aliyemkamilifu duniani. kikubwa ni kuupokea ukweli na kuufanyia kazi. kupokea changamoto nakuzishughulikia.

CCM ina Tunu nyingi. so,better viongozi wake wawe makini katika kulinda na kuendeleza tunu hizi.

Kuhusu #URAIS , Nadhani hapo amemaanisha #MIZENGO . katika sifa zote hizo tatu,zimehit a point. Hajajitangaza kugombea(bali ametangazwa ,anapiganiwa,). Watoto wake wako kama mimi tu. just like it used to be to NUERERE.

Long Live Butiku. Huogopi macho ya watu. Ukweli ndo unaokuongoza. Nakwakweli,unaimani na chama na unania kubwa yakutaka kuona kinaenenda vyema.
 
Alisema: “Ukikaa watoto wako wajue umekaa pale kama baba wa wote... siyo baba wa kutafutia kazi (watoto) kwa magendo.”
Ritz njoo useme jambo kuhusu kauli hii ya Butiku. Naona " Muheshimiwa. Dr. Dr. Dr. Dr. Dhaifu" kapigwa za utosini live na Butiku.
 
du, hiyo picha nilijua ni sherehe za kipaimara

Mkuu wanaochelewa kuingia mjini mbwembwe na maneno ya kebehi meeeengi kumbe loh! Ndio hivyo tena! Mshamba akiingia mjini anaweza kuvaa "katambuga" ila akatamba kuwa zimetengezezwa kwa tyre za Range bwana! Ushanipata mgosi?
 
hahahaha, Elli njoo huku. ngoja nikapate boha kwanza nisahau habari ya KARIBA MPYA maana katiba hakuna.
 
Last edited by a moderator:
Wakiponea 2015 basi 2020 ni kwaheri. Je UKAWA mpo kupokea hili gurudumu la maendeleo? Anatakiwa Rais mwenye maono wa kuweza kufumua mfumo wote uliopo na kuanza upya. Hii ni kuanzai elimu, afya, ardhi, makazi, kilimo.
 
Hata Kinana amekiri CCM ni wapuuzi, kwa mantiki hiyo mwanachi gani mwenye akili timamu atakubali kuongozwa na viongozi kutoka chama cha wapuuzi? Wananchi gani wenye akili timamamu watakubali kupigia kura rasimu ya katiba iliyopendekezwa na wapuuzi? Ni ajabu sana kuendesha bunge la mchakato wa katiba mpya kumuweka mwenyekiti mpuuzi ndio maana akaamua maamuzi ya kipuuzi. Miaka 10 mingi sana mkuu butiku, mingi sana tegemea lolote ndani ya kipindi kifupi sana. Tumechoka kodi zetu kutumiwa kipuuzi na wapuuzi.

Yangu macho kuona hayo wakati ukifika kama Mungu atanijalia uzima.
LAKINI:
1) Wananchi mmewaandaa kiasi gani kuwezesha mabadiliko wanasiasa mnayoota?
2) CCM ndiyo wanaoandaa na kusimamia uchaguzi, kuhesabu kura na kutangaza matokeo; ni mwendawazimu yupi anayeweza kujinyonga ilhali anapenda kuendelea kuishi? Inaonesha mmeshindwa kujifunza kupitia chaguzi zilizopita. Hebu basi mjifunze kupitia rasimu ya katiba ya SITA/CHENGE enyi wapinzani.

Siasa ni unafiki sipendi kuwa mnafiki!
 
Usikate tamaa jifunze kupitia riwaya ya KULI, YANA MWISHO HAYA. Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha, kama kwa KANU iliwezekana why not CCM. kama washaanza kukiri waasisi wewe nani hata ukanushe, siasa ni maisha kama maisha ni unafiki hayo ni maisha yako. Time will tell if not us our grand children.
 
By BekaNurdin Yangu macho kuona hayo wakati ukifika kama Mungu atanijalia uzima.
LAKINI:
1) Wananchi mmewaandaa kiasi gani kuwezesha mabadiliko wanasiasa mnayoota?
2) CCM ndiyo wanaoandaa na kusimamia uchaguzi, kuhesabu kura na kutangaza matokeo; ni mwendawazimu yupi anayeweza kujinyonga ilhali anapenda kuendelea kuishi? Inaonesha mmeshindwa kujifunza kupitia chaguzi zilizopita. Hebu basi mjifunze kupitia rasimu ya katiba ya SITA/CHENGE enyi wapinzani.

Siasa ni unafiki sipendi kuwa mnafiki!

Hata kama wewe hujakata tamaa kama mimi, bila ku-address key issues tajwa hapo juu kuiondoa CCM madarakani kwa njia ya kura ni ndoto!
 
Miaka kumi ni mingi sana mkuu!
Ingekuwa siyo kutumia mabavu hata wakati huu wangeshasahauliwa.
Na hii Rasimu ya 6 ndiyo msumari wa mwisho kwenye jeneza lao!
 
Back
Top Bottom