Butiku: Kusoma tumesoma lakini ujasiri hatuna, tunashukuru Sasa tunaye msomi mmoja mwenye ujasiri

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,135
2,000
wenye ujasiri wakisema, mnawapiga bungeni na mtawakomesha nje ya bunge. hakuna jipya kwenye hayo mapendekezo ya kamati. Sheria pamoja mikataba vilishapiganiwa sana mpaka watu wakawa wanatoka nje ya bunge. leo hii mnawapongeza na kuwaita mashujaa walioshiriki kupitisha sharia mbovu na kusaini mikataba siri. ama kweli watanzania tuna safari ndefu
 
Sophist

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
4,396

those guys of yours are only misguided missiles. wape pole hakuna mtu pale Zaidi ya kuwa cantankerous tu.
 
Sophist

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
4,396
2,000
Mzee KANENA.. Mfano pale Chadema wasomi wanamuogopa sana Mbowe, mpaka Tundu Lisu anamuogopa Mbowe
Si Lissu tu bali hata Prof. Baregu na Prof. Safari. Maoga kwa Mbowe hakuna mfano, utafikiri Mbowe ndie Professa na wao ni form 6 leavers tu. Kumbe the reverse applies. Mara baada ya Uchaguzi Mkuu (2015) nilibahatika kukutana na mmoja na kisha kumshauri wamwambie Mbowe ajiuzulu ili wasaidie chama chao kupata new bearing na kusonga mbele na mazingira mapya ya kisiasa. Doh, jamaa aliniambia kuwa Mbowe hakutaka kusikia jambo hilo na iwapo angethubutu kushauri hivyo Mbowe ange-engineer afukuzwe uanachama. Nilishangaa! Hii ni true story just from the horse's mouth.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
22,306
2,000
..jasiri siyo huyu.

..jasiri ni mtu kama Tundu Lissu.

..akiwa kijana hana miaka mingi tangu amalize chuo kikuu alisimama kidete kutetea rasilimali zetu zisiibiwe.

..huyu mnayemuita jasiri alijificha miaka zaidi ya 15 huku madini yakiporwa.
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,758
2,000
..jasiri siyo huyu.

..jasiri ni mtu kama Tundu Lissu.

..akiwa kijana hana miaka mingi tangu amalize chuo kikuu alisimama kidete kutetea rasilimali zetu zisiibiwe.

..huyu mnayemuita jasiri alijificha miaka zaidi ya 15 huku madini yakiporwa.
Kama Tundu Lissu angekuwa jasiri angekataa kula matapishi yake.

Jasiri amepiga porojo kwa miaka minane halafu unakuja kuanza kutuuzia mtu ambaye alikuwa anatuambia ni fisadi na hafai hata kuchukua fomu ya kugombea Urais.

Utapeli wa CHADEMA.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom