Topical,
Nimewahi kuzungumza na Butiku na alisema alishawaandikia wote Mkapa na Kikwete barua. Wote hawakumjibu. Aliwahi kuomba akutane na Mkapa alipokuwa mamlakani, akamchenga. Ameomba kukutana na Kikwete, yale yale. Sasa ajabu, juzi baada ya Vincent Nyerere kumvua nguo Mkapa hadharani, ndipo Mkapa kwa mara ya kwanza amemtafuta Butiku, eti asaidie kumpatanisha na Vincent. Lakini kama ni suala la kukutana, Butiku ametumia kila njia bila kufanikiwa.
Assume kwamba naamini hicho unachosema kwamba ni kweli, hivi kweli ameshindwa kumuona katibu wa chama Wilson Mukama..mimi unknown naweza kumuona kila siku pale Lumumba? au hata nyumbani kwake Tegeta?
Mkapa ana tabia za jeuri (ukichanganya na ulabu pale police mess) lakini sidhani kama JK anaweza kukataa kukutana na mzee Butiku, Warioba au Kitine etc.. ..BIG NO..
Hawa jamaa wana bifu lisilokwisha na JK..of course wako kwenye mapambano ya kifikra..na hasira za watu wao kutupwa