Butiku, Kitine, Kaduma, Salim, Warioba, wana nguvu?

Kitine akiwa mkuu wa kambi ya jeshi huko monduli aliliibia jeshi sana na alipoondoka kwa kuhamishwa wanajeshi walifurahi saaaaaaaana.
 
Kitine akiwa jeshini monduli kama mkuu wa chuo cha maafisa wa jeshi alikuwa anapeleka madai hewa serikalini na aliiba sana kwa mtindo huo
 
Hassy Kitine alikuwa mmoja ya watu waliotaka kufanya mapinduzi ya serikali mwaka 1983,ambapo alikuwa nyuma ya wanajeshi waliotaka kugoma na kutaka kupindua serikali iliyokuwa chini ya mwalim Julius Nyerere
 
mtu aliyekata tamaa na asiyeridhika huwa anakawaida ya kuongea sana na hatimaye kuropoka.mfano ni hawa wazee
 
Huyu kitine ni mtu wa hovyo sana,kwanza familia yake imemshinda na hajawahi kuimiliki familia yake.
Akiwa DG wa UWT alikuwa anaogopa kwenda nyumbani kwake kwa sababu alikuwa na ugomvi na mke wake,hivyo alikuwa anatumia janja ya nyani kukaa ofisini mda mrefu...ndio maana mke wake alimlazimisha amnunulie gari la kifahari tena kwa fedha za serikali ili kumpooza asimsumbue.
 
Kitine mwivi...kitine fisadi....kitine mhaini looh tuhuma zote hizo huyu jamaa mnamuondolea hata haki yake ya kutoa maoni kama watanzania wengine, mnakuwa kama waziri kabaka akimjibu lowassa...arrrrgh hebu jadilini maoni aliyoyatoa ndugu kitine na sio kumtusi na kukwepa hoja
 
Ni vijana wangapi waliopo katika bunge au nafasi mbambali nyeti serikalini wanaotoka katika koo au familia za kina kitine,kaduma na butiku????waache kuwahadaa watanzania wakati wao ndio wamelifikisha taifa hapa lilipo.
 
wanajamii ya watanzania wajitokeze kuwauliza hawa wazee kwa nini wasije na majibu ya matatizo badala ya kulalamika tu kwani wana bahati ya kukaa ya kuwepo katika serikali zote hadi leo
 
kwanini zamani hawa wazee walikuwa wakali wakiulizwa kitu matokeo yake mtu unaswekwa rumande????

wasitudanganye kwani leo tuna uhuru wa kuongea bila kusukwasukwa/misuko suko
 
Back
Top Bottom