Hutaki kuagiza zawadi? Mkaa matunda mihogo hata tunguli hirizi pia vipo! Kasoro tu house girl watoto wa kimakonde wanaweza kufanya mapinduzi ni mahiri sana kwenye mambo fulani na hawachoki kujituma
Takurushia picha yake kwanza umtathmini
Nataska miogo ipo huko uniletee
afu ukute ina ungaunga lol ntakulaje umenitamanishaHahahaaa shansarie umenikumbusha kitu... niliingia mgahawa mmoja huku kijijini nikaagiza chai na vipande viwili vya muhogo! Mungu wangu nililetewa mapande yanayotosha kula watu watatu halafu unajua bei yake? 600/= tu
Nimekuletea bunddle mbili ukimaliza birthday takufikishia
Hope the party was a big success...!!!