Busy but guilty

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Ni binti mrembo kiasi unachoweza kueleza..
Uzuri wake hauelezeki kwa maneno yaliyopo duniani..
Ukichanganya na maringo/kujisikia kwa namna yake basi usiombe kumpenda..
But she is all busy.
...
Dear
Huna muda na wanaume!
Saa 24 upo online! Charting! Playing over men's emotions!
Unasema hauko tayari kuolewa!
Dear Naomi
Vijana wanakulilia
Wazazi wanakuombea!
Nakumbuka ulivomkataa rafiki yangu!
Aliyekupa kila ulichotaka!
Nilikufichia siri tu !
Your busy but guilty
...
Usoni unacheka
Moyoni unalia
Unakumbuka ile mimba ya 4 uliyotoa nusura ufe!
Shukuru niliwahi kukupeleka hospitali,
Unakumbuka yule mchumba wako aliekusomesha tangu kidato cha kwanza hadi Chuo Kikuu?
Ulipofika Chuo Kikuu ukasema hajui mapenzi,
Ukasema hana jipya,
Ukasema sio msomi,
Ha ha ha!
Kumbe ulimpata aliyekuwa kashapatwa!
...
Dear
Muda wa kuweka principles umepita!
Muda wa maringo umepita!
Muda wa kujikweza umepita!
Muda wa kuchezea hisia za wanaume umepita!
Usijifiche nyuma ya u-busy!
Hata ukilia haitakusaidia!
Your busy but guilty
...
Muite Mungu uzungumze nae!
Elimu,Uzuri na Ujanjaujanja sio kila kitu katika Maisha.
Tulio tabaka la chini tunakusoma tu unavyojifaragua.
...
Usiseme uko busy
Your busy but guilty
FORGIVE YOURSELF
Life will be easy
^^
 
Mkuu Himidini vipi?
Kama unarusha madongo vile!!!

 
Busy but Guilty?? hahahahaaaa usiombe kuwa Guilty inatesa sana, sasa Naomi anatamani sana arudi kwa mtu wake wa awali lakini hana jinsi.....akina Naomi wako wengi sana leo hiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…