Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 10,461
- 12,199
Uzushi ni upi na ukweli ni upi?Watu kama nyie ni wakukamatwa kwa kueneza uzushi
Mkuu Megalodon , kwenye hii hoja, you have a point. Aliyetangazia taifa kifo cha JPM ni Rais Mama Samia, Tangazo lile ndio the official version ya kutangazia dunia kuhusu msiba huo na the cause of death. Haiwezekani Mzungu atoke huko alikotoka, amseme vibaya JPM, amtungie uongo kuwa alikufa kwa Covid 19, mbele yako halafu wewe useme yes!.Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame !
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people
Katika hilo sitakuunga mkono amini uaminivyo lakini Mungu yupo...inatosha.Mungu ni chaka la kufichia mambo tu.
Kiuhalisia hayupo.
Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu anayeweza kukuthibitishia uwepo wa huyo Mungu.
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?...
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.
The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Sihitaji uniunge mkono.Katika hilo sitakuunga mkono amini uaminivyo lakini Mungu yupo...inatosha.
Wachache wenye uchu wa madaraka na mafisadi, walitumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumkashifu Magufuli, kama wewe. Sasa hao hao wanatumia njia hizo hizo kuzima SAUTI ya wengi ambao waliwekewa mazingira rafiki ya kujitafutia riziki km kitambulisho cha machinga, wakulima kusafirisha mazao yao bila bughuza na tozo, wachimba madini wadogo kutokusumbuliwa, nkAcha kulalamika ndugu, chukua jembe ukalime. CCM ni ile ile, usanii ndio falsafa yake. Nchi itatafunwa mpaka akili itukae.
Magufuli yeye alikuwa anafanya royal tour yake ya kienyeji, akizunguka nchi kwa misafara ya magari huku akilindwa na utitiri wa makomandoo wakiwa na bunduki, helkopta kadhaa zikirindima angani, akisimama njiani kutafuna mahindi ya kuchoma, kununua matunda, kunywa kahawa kijiweni, kuzawadiwa kuku na kugawa mabulungutu ya pesa huku Tv zikirusha live!
Mama anaupiga mwingi.
Kazi iindelee.
Wizi uendelee pia!
Nakaziayes. something is wrong.
JF ni App kubwa sana Afrika na dunian ebu tuitumie vzr kuandika vtu vyenye maana
Kuna mataifa wanaitumia jamii forum kujua uwezo wetu watanzania wa kufikili na kuwaza
Sasa tutaonekana wabongo ni vichwa maji kumbe ni watu wachache tu
SALUTENatamani kuandika makala kuhusu Utawala wa Rais SSH unakopeleka nchi hii, tajiri wa maliasili, lakini najua Mods wataifuta.
Nakubaliana na wewe kwamba something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala[I/][B/]
Kama ulivyochambua kuna dalili za ombwe la uongozi kwenye utawala wa sasa. Maswali yako mengi ya kumwuliza Rais SSH, km:
1) Kupanda kwa bei ya vitu ni sababu ya UVIKO-19 na vita ya Urusi na Ukreni?
2) Kwa nini huduma katika ofisi za Serikali na Taasisi zake zenye kutoa huduma zimerejea kwenye "business as usual"?
3) Wahusika na waratibu wa safari za Rais nje ya nchi wana agenda gani, hadi kutumia utengenezaji wa filamu ya "Royal Tour"? Na kama siyo fedha ya Serikali iliyotumika waliochangia watarudishiwaje? Rais aweke wazi na hadhani orodha ya hao waliochangia na kiasi chao ili wajulikane.
4) Serikali imeandaa mikakati gani ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani na hasa kwenye sekta isiyo rasmi?
5) Serikali iliweka tozo kwenye mawasiliano, ambayo inaingiza fedha nyingi, iweje iendelee kutembeza bakuri?
6) Serikali ilipata mkopo wa UVIKO-19, ambao kwa kiasi kikubwa unatumika kujenga zahanati na vituo vya afya, je, kuna mkakati gani wa kuviwezesha kutoa huduma stahiki?
NakaziaJF ni App kubwa sana Afrika na dunian ebu tuitumie vzr kuandika vtu vyenye maana
Kuna mataifa wanaitumia jamii forum kujua uwezo wetu watanzania wa kufikili na kuwaza
Sasa tutaonekana wabongo ni vichwa maji kumbe ni watu wachache tu
Mkuu Megalodon , kwenye hii hoja, you have a point. Aliyetangazia taifa kifo cha JPM ni Rais Mama Samia, Tangazo lile ndio the official version ya kutangazia dunia kuhusu msiba huo na the cause of death. Haiwezekani Mzungu atoke huko alikotoka, amseme vibaya JPM, amtungie uongo kuwa alikufa kwa Covid 19, mbele yako halafu wewe useme yes!.
Kifo ni kifo, na hakuna ubaya wowote Kwa mtu yoyote kufa kwa Covid 19, na wala sio ugonjwa wa aibu!, baada ya kuiona The Royal Tour, kuna baadhi yetu tunatumia tuu akili ya kiutu uzima kuujua ukweli wa the real and the truth cause of death ya mpendwa wetu, Swali ni kwa nini tulidanganywa?. What was the motive behind uongo ule, na ulikuwa na lengo la ku achieve nini?.
Kuna msemo usemeo, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!. Kuna uongo ukiusema, anahakikisha unaingia nao kaburini, mfano mzuri ni mama tuu ndie pekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto, lakini kuna wababa wengi, wanaleo watoto ambao sio wao, ila wamama wengi, siri hiyo, huingia nayo kaburini!. Kwa maoni yangu, the real cause of death kwa JPM, should remain a top secret, sisi wananchi tuendelee kuamini kile tulichoelezwa, that means, that scene that reveals the secret cause of death ya JPM, kwenye hiyo movie, shouldn't have been there at all!
Rais wetu Mama Samia na yeye ni binadamu na sio malaika, hivyo anaweza kukosea, wasaidizi wa rais, msaidieni rais wetu.
P
Hatukuwahi kuambiwa hata kama JPM alikuwa mgonjwa...bado unataka tufichwe mpaka chanzo cha kifo chake ?..Kwa maoni yangu, the real cause of death kwa JPM, should remain a top secret, sisi wananchi tuendelee kuamini kile tulichoelezwa, that means, that scene that reveals the secret cause of death ya JPM, kwenye hiyo movie, shouldn't have been there at all!
Hii nchi ni mali ya viongozi hata kama ukipinga, nyie raia mtaambiwa wanachotaka wakubwa mkijue.Swali ni kwa nini tulidanganywa?. What was the motive behind uongo ule, na ulikuwa na lengo la ku achieve nini?.
Kila utawala mnasema something is wrong, kuanzia Nyerere something was wrong mpaka atakayekuja baada ya Samia mtaendeleza wimbo huo huo wa something is wrong.1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?
Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear
Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?
2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?
Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?
Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?
It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.
It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.
Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.
The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Mkuu chanzo cha kifo cha JPM ni afya yake, simple and clear. Alifanya mengi sana aliingilia kila sehemu na kwa hali ya kawaida tu asingeweza kutoka kote huko salama kiafya. Mengineyo ni conspiracy theories ambazo hatuna uwezo wa kuuweka hadharani ukweli wake.Hatukuwahi kuambiwa hata kama JPM alikuwa mgonjwa...bado unataka tufichwe mpaka chanzo cha kifo chake ?..
Hii nchi ni mali ya viongozi hata kama ukipinga, nyie raia mtaambiwa wanachotaka wakubwa mkijue.
Mkuu Megalodon , sifanyi any sugar coating, the truth is, kuna tofauti kubwa ya intelligence kati ya Samia na JPM. JPM was very intelligent president, tatizo lake ni was a dictator (a benevolent one), interms of intelect Samia is not like JPM, hivyo anahitaji some very intelligent people from the deep state kumsaidia. Japo mwenyewe amesema her rolling eyes are not just rolls, yanaona sana!, it's not true!. Yangekukuwa ni kweli yanaona, then jambo kubwa, very serious and very sensitive, angeliona.Mkuu Mayalla, nakubaliana na yote uliyoandika, naomba kupinga Sugarcoat yako...... we cannot put lies in truth , I strongly disagree kuwa mama kapitiwa kama binadamu.
Naomba kiongozi usiweke sugarcoat , Mama is a big scam , big time