Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
Kibongobongo ukimkoromea mkulu kiivyo polisi wanakutia vitasa teh!
Jamaa alikuwa anatania tu.
Na jana usiku yeye na mpenzi wake walikuwa kwenye kipindi cha Anderson Cooper CNN na walikuwa wanacheka tu na wakathibitisha kuwa alisema hivyo kiutani na ndo maana Obama naye akaenda na flow ya huo utani.
Halikuwa jambo serious hata kidogo. Ni utani tu.
Sisi wakurya hatunaga utani kwenye mambo kama hayo, unareta utani kwa mama robi mura, nkutema mura
Hapo kwenye wekundu, Kama ni mkulya, basi wa mjini.
hata wewe unaweza kuwa wa mjini pia