Alimaliziaje?Dah......nilisahauje kukukumbusha........?.......nilipitiwa na hizi shamrashamra kidogo.......lakini here we are.........perfumed garden.........halafu aliyekua ananiadithia alivyomalizia sikupenda.......mambo gani yale........
Alimaliziaje?
Hawa wanaofunda mabinti siku hizi na sijui mambo ya kitchen party wanarukaruka tu
Hapana @housegirl sijawahi kufanya hiyo biasharaThanks for the suggestion... Ingawa nimepitia kwa juu nilipokidownload ... Hayo majina ya hiyo miti/mimea tutatoa wapi.... Au unauza @mshana jr
Yaani ww km mm tu....Nimelike kwanza kisha nikitulia nitasoma taratibu. Asante @mshana jr
Naomba kujua ww @mshana jr ulikijuaje hiki kitabu ama ndio katika kutafuta article za kikubwa ili uwe fundi ukakumbana nacho..!?
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi fundi.... Sio Maiko lakini....Naomba kujua ww @mshana jr ulikijuaje hiki kitabu ama ndio katika kutafuta article za kikubwa ili uwe fundi ukakumbana nacho..!?