Bustani zenye manukato

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,819
730,211
Ukisikia hili neno utapata tafsiri tofauti na uhalisia, 'bustani zenye manukato' zinanukia vingine vya kihisia vya kimwili vya kushibisha moyo na nafsi na hisia na tamaa za mwili na chakula cha macho 1451423070334.jpg huyu ndiye Mohammed Al-Nafzawi wa perfumed gardens - gwiji la kitchen party, uswazi wanasema CHICKEN PARTY
Perfumed gardens ni simulizi na somo refu tukuka la mambo ya mahaba ni darasa la haja lililosheheni ufundi ujuzi na utundu kunako 6kwa6
Bahati mbaya sana full package ilipotea/iliharibiwa na kubaki kurasa moja tu lakini ambayo ni balaa 1451423535193.jpg
Kwenye hicho kilicho jaaliwa kubaki kwenye karne ya 15 hiki ndicho kilichopatikana
Mafundisho ya~;
-ubora wa mwanamke na mwanaume anaotakiwa kuwa nao
-kuvutia
-mikao na style za mapenzi, ushauri na mbinu za kutoshelezana AKA kufikishana kitonga na kibo peak kule kwa akina mangi
- TAHADHARI ya afya magonjwa na uhimili wa mchezo
-dawa, mitishamba na viphantom vya mapenzi
-orodha ya majina size na vipimo vya sehemu za siri/ndoa za jinsia zote tafsiri zake na ushauri
-ndoto za mahabati na maana zake, ikiwemo ndoto nyevu
-ngono za wanyama kwa wanyama, wanyama na binadamu na maana yake
- Stories za kuvutia na za kuvuta hisia za mapenzi nk nk
Kimsingi zingepatikana kurasa zote za hii makitu sijui dunia ingekuwaje leo hii 1451424441776.jpg Hao kina kama surtra wanakopi na kupesti tuu

cc: @Preta @Binti Magufuli sijui makomeo???
 
Ngombe hazeeki maini,hata hivyo 50 years bado nikijana tu ila ni kijana wa makamo
Hili neno limenifariji mno sipendi kama nini kuitwa 'yule mbaba' nilishawahi kumtumua mhudumu mmoja kisa kaniita mbaba
 
Back
Top Bottom