Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Hongera kwa bustani nzuri, "Utamu wa chai ni sukari si rangi yake" Mh. Lusinde. Kuhusu bustani yako inabidi utuambie umeilimaje, mbolea na madawa gani umetumia, siku hizi kwenye bustani hapa bongo baadhi wanapulizia ngao na dawa za kuhifadhia maiti kuongeza shelf life.
Tuwekee alama kwenye tunda la mti wa kati tusije kuligegeda bila kujua mkuu
Tuwekee alama kwenye tunda la mti wa kati tusije kuligegeda bila kujua mkuu
Basi ngoja tujimwage na ma.fruitsha h aha. lile sijaliona hapo mkuu, naona yote ni jamii ya melons, MziziMkavu lile tunda kwenye hii bustani yako lipo?:confused2:
On my way to heaven!!!
:becky::becky::becky:You are hilarious...Ukiambiwa ufe leo then utaenda peponi utakubali??