hashim mwamba
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 1,018
- 1,099
Endeleeni kutupa nondo
aiseee mambo matam hayaNmesoma kwenye kitabu flani cha New age movement kiliandikwa na roy livesey kinagusia kuhusu mipango ya utawala huu wa giza na kujiandaa kuikamata dunia
Sasa wanadai 2012 kimahesabu ndio mwaka waliopanga kuishika yote na walidai walipanga world war 3 ya kwamba north korea iivamie south ili mataifa makubwa yapambane na baada ya vita wao ndio waitawale dunia maana mataifa makubwa yatakuwa yamechoka n.k n.k
Sasa anaeleza kuwa walipanga kufanya matambiko makubwa ili kuumalizia mnara wa babeli ambao kwenye mashirika ya kigiza kma freemasons na mengineyo unaashiria mwanzo wa maarifa makubwa ya kibinadamu na misingi na nembo nyingi za mashirika haya yalianzia kwa Nimrod na sumeria ambapo ndipo mnara huu ulijengwa
Hivyo wakapanga matambiko hayo yafanyike (possibly mji wa borsippa,Iraq) ili waukamilishe mnara huo ambao ulisambaratishwa kabla hujamalizika..... Na hii inaelezea kuhusu nembo ya mnara huo kwenye dollar ya marekani kuonyesha ni pyramid ambalo juu halijamalizika ndio waandishi mbalimbali wa conspiracy theory wanadai inaashiria kuwa mnara wa babeli bado haujamalizwa na ndio walitaka kuumaliza 2012
So far hakuna mwenye uhakika tambiko lilifanikiwa au lah maana limegubikwa na usiri sana unless mmoja wao avujishe...... Story zipo nyingi ya matukio kwa 2012 kma tunavyojua sanduku la agano lile la kwenye biblia liko ethiopia na kwa miaka mingi mashirika ya giza yamejaribu kulichukua kutoka ethiopia toka enzi za mussolini walishindwa so wengine wacaconlude kwamba ilitakiwa meles zenawi aondoshwe duniani ili walichukue maana kwa miaka mingi alifanya jitihada za kulizuia lisibebwe na watu hao wabaya so death ya zenawi 2012 na yenyewe ikaongeza hisia juu ya nia ya hawa jamaa kufanya tambiko la kihistoria!!
Mkuu story ni nyingi ila kwa ufupi ndio kma hivyo.... Nkipata soft copy ya hicho kitabu ntakiweka humu ila ninacho hard copy pekee kwa sasa
View attachment 746136
heeeeee.......!!!! we jamaa wewHuo mjadala tulisha ufunga bustani Hiyo ilikuwa tanzania pale ngorongoro ikatambaa hadi eneo la odvai gorge. Science inathibitisha ila wayahudi wanataka iwe kwao twende kuhiji nakutoa sadaka.
Mkuu wangu zitto juniorSanduku la agano lile la kwenye biblia liko ethiopia na kwa miaka mingi
sinakuelewa hyo sentensi ya mwisho.....adam na hawa walitumika kama sample?? walikuepo watu wengine sehm zingine???Hayo mambo hayakutokea dunia/ulimwengu woote huu yalitokea huko huko Mashariki ya kati ila kwa zamani lile eneo liliitwa dunia hata leo tungeweza kuisema Afrika kama dunia ila kiuhalisia wa sasa si kweli......hata Adamu na Hawa ilikuwa ni sample tu ya kuelezea chanzo cha watu ila walikuwepo watu wengi tu pande zingine za dunia
Sorry mkuu next time usi Quote comment ndefu unawasumbua wanaotumia App na simu!aiseee mambo matam haya
No mkuu ndo alivyo lelewa wa kulaumiwa ni wazazi!wachungaji wengine sijui mnawatoaga wap mpka wanawafundisha ujinga huh..........
Uliwahi kuwaona hao alliens hapa tz?? au hata kwa kuona kwnye picha kwamba ""hapa walikua tz""??Hapan mkuu!
Binadamu wa kwanza alitokea Africa tena hapa hapa Tanzania
Na hata hiyo bustani ilikuwa Africa
Tanzania ni moja kati ya Nchi ambazo zinasiri kubwa KUHUSU uumbaji
Na hata alliens upendelea kutembelea mara nyingi
Sijaona kabisa msingi wa hii hoja yajo plus maswali yako....unafiria very partialySasa mkuu nitoke kidogo nje ya mada...kweli tanzania tumebarikiwa sana kwa kila kitu na naweza kabisa kukubaliana na wewe kuwa kuna siri nzito kuhusu uumbaji. Sasa kama Mungu alitupendelea kiasi hiki ilikuweje akatunyima akili??
Kuhusu Alliens kututembelea...Inasemekana hao viumbe wana akili za kupindukia sasa inakuweje wanatutembelea hata hawatuachii viakili kidogo na sisi tuzitumie kujikwamua kwenye huu mtego wa kutokujitambua na kutumia kile Mungu alichotupa kwa manufaa yetu. Au labda tumeanza na kujenga ukuta mererani....nimewaza tu hapa.
nawwshauri wa update app yao asante.Sorry mkuu next time usi Quote comment ndefu unawasumbua wanaotumia App na simu!
Thanks
No mkuu ndo alivyo lelewa wa kulaumiwa ni wazazi!
Sorry!
nimekuelewa kote kasoro hapo kwnye haya ya tatu kuhusu watu unasema et chanzo ni mke wa mtoto wa nuh alikua mweusi......sasa yan sisi tunajiuliza watu weusi chanzo chetu.......huoni kama tunamjumuisha na huyo mke wa ham....y nae alitokea wap......1. Garden of Eden sio ya kufikirika kuendana na biblia eneo limetajwa so angalau inapunguza maswali..... Maana mito iliotajwa ipo huko iraq ya sasa au Mesopotamia ya kale (sumeria) so sio story ya kufikirika angalau kwa sasa maana hata civilization ya kwanza ipo sumeria... Hata uzao wa kwanza kwanza hapa duniani wengi waliishi mesopotamia na maeneo ya karibu kma Ur uz akkad eridu n.k
2. Mnara wa babeli kweli ulikuwepo ila haukua wa kufika mbinguni kimwili ila ulijengwa kama Pyramud tu alafu juu wanafanya matambiko ya kujaribu kutengeneza warmhole ili wateleport kufika mbinguni kiroho zaidi so kimahesabu Mungu akaona wana nia (sio uwezo) kweli ya kupambana naye ndio akawavuruga hivyo ulijengwa maana ushahidi wa hizo pyramid zinaitwa el ziggurat zipo mpaka leo huko mesopotamia
3.kuhusu waafrika kwa ushahidi wa kimaandiko na hadithi za kale watu weusi walitoka kwa Ham....hivyo kuna uwezekano mke wa ham alikuwa mweusi wanadai alikuwa mjukuu wa Kain.... Aliitwa egyptus!! Hivyo basi conclusion ni kwamba watu weusi walitokana na mke wa mtoto wa nuhu aliyekuwa mweusi
4. Kuhusu safina kutua pale pale its a mystery ila jibu laweza kuwa ile safina ilikuwa haitembei kma boti labda ilikuwa imetuwama tu kma boya kwenye maji au labda imetia nanga..... Lazima sababu iwepo otherwise wafia dini watasema ulikuwa ni mpango wa Mungu isiondoke mbali na walipoishi maana kma alileta gharika yeye na mlango wa safina akaufunga yye basi lazima alicontrol pia movement za safina
Ni hayo tu
Mkuu nishaeleza sana sana kua chanzo cha binaadamu wote ni Black! Kanisa katoriki linamtambua Adam na Eva walikua Blacks kasoro Yesu tu ndio mweupe!nimekuelewa kote kasoro hapo kwnye haya ya tatu kuhusu watu unasema et chanzo ni mke wa mtoto wa nuh alikua mweusi......sasa yan sisi tunajiuliza watu weusi chanzo chetu.......huoni kama tunamjumuisha na huyo mke wa ham....y nae alitokea wap......
Labda ulete source ya huyo ham.....mana unaweza sema yeye ndo chanzo kumbe hata wazaz wake mmoja alikua mweusi....
Ham tunamuita baba wa weusi maana watoto wake wote wana rangi nyeusi hata sasa mfano put yaani libya sasa kihistoria ilikaliwa na watu weusi.... Cush yaani ethiopia tunaona ina watu weusi.... Mizraim yaani misri ya kale tunaona ilikaliwa na watu weusi n.k ila uzao wa shem na japhet watoto wao wote wengi ni nchi za ulaya na mashariki ya kati/Asia kuanzie gomer,gog,magog zote hizo ni makabila ya ulaya huko na magharibi ya Asianimekuelewa kote kasoro hapo kwnye haya ya tatu kuhusu watu unasema et chanzo ni mke wa mtoto wa nuh alikua mweusi......sasa yan sisi tunajiuliza watu weusi chanzo chetu.......huoni kama tunamjumuisha na huyo mke wa ham....y nae alitokea wap......
Labda ulete source ya huyo ham.....mana unaweza sema yeye ndo chanzo kumbe hata wazaz wake mmoja alikua mweusi....
asante mtaalam....ngoja nifungue huo uzi nizipate hzo madini zakoHam tunamuita baba wa weusi maana watoto wake wote wana rangi nyeusi hata sasa mfano put yaani libya sasa kihistoria ilikaliwa na watu weusi.... Cush yaani ethiopia tunaona ina watu weusi.... Mizraim yaani misri ya kale tunaona ilikaliwa na watu weusi n.k ila uzao wa shem na japhet watoto wao wote wengi ni nchi za ulaya na mashariki ya kati/Asia kuanzie gomer,gog,magog zote hizo ni makabila ya ulaya huko na magharibi ya Asia
Kingine ham kwa lugha za kale huko misri maana yake MWEUSI ndio maana hoja ya kwamba ndio baba wa waafrika
Kingine sikusema weusi umetokea kwa mke wa ham bali nilijibu kwamba weusi ulivuka gharika kupitia mke wa Ham
Kingine sidhani kma nuhu wala mkewe walikuwa weusi sababu hata hao kina shem na japhet wangezaa koo ambazo wangekuwa weusi mpka leo...... Ila Ham anahusishwa na weusi sababu koo nyingi alizozaa mpaka leo zinakaliwa na watu weusi kasoro kanaan tu ambao kizazi chake kilifutwa kwenye uso wa dunia na Joshua
Vitabu kadhaa vya kihistoria vinadai weusi ulianza kwa CAIN na nlishawahi kuweka uzi hapa kuhus madai hayo waweza upitia kidogo
Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?
Kaskazini mwa Ethiopia kando kando ya Mto/Ziwa Tana kuna monasteri nyingi, watawa wanaoishi kwenye vilima kando mwa Mto/Ziwa Tana. Wengi wao wanaishi maisha ya kujitenga, hawavai viatu tena ni sehemu ya baridi. Ndani ya Monasteri hizi wanatoa maelezo ya biblia na wengi wanaeleza bustani ya Eden ilikuwa maeneo hayo (jimbo la Bahir Dar). Wana maandishi ya biblia ya zamani sana, kama kweli nia yako ni kujuzwa ilipokuwa Eden, tafuta namna ya kutembelea maeneo haya- unaweza ku-google 'monasteries Bahir Dar'Maelezo Uliyoweka Nami Nayajua Hayo Hayo Ndo Nliyoyasoma,na Ulivyoandika Ni Kama Umecopy Kila Kitu Kwenye Nakala Nliyosoma Mie Ila Tu Hujaweka Credit Kwa Muandishi,ila
Adam Na Eve Walienjoy Kudinyana Bustanini Aisee
he hee hee. hii qali ..ngoja kwanza nikae kitako vyema nifuatilie haya mambo""Hayo mambo hayakutokea dunia/ulimwengu woote huu yalitokea huko huko Mashariki ya kati ila kwa zamani lile eneo liliitwa dunia hata leo tungeweza kuisema Afrika kama dunia ila kiuhalisia wa sasa si kweli......hata Adamu na Hawa ilikuwa ni sample tu ya kuelezea chanzo cha watu ila walikuwepo watu wengi tu pande zingine za dunia
aisee kwanza niseme " unanishawishi kuufuatilia huu mjadalaHapan mkuu!
Binadamu wa kwanza alitokea Africa tena hapa hapa Tanzania
Na hata hiyo bustani ilikuwa Africa
Tanzania ni moja kati ya Nchi ambazo zinasiri kubwa KUHUSU uumbaji
Na hata alliens upendelea kutembelea mara nyingi
hahaaaa hii nimecheka sana ..haki wallahi...leta nondoWakiitwa wenye akili nawewe unakwenda? Eden ni hadithi ya kubuni ambayo haipo pahala popote duniani. Hivi unaamini mwanamke katwaliwa kwenye ubavu wa mwanaume? Je ni hivyohivyo hata kwa wanawake wa mbu, mbuzi, vyura, nyuki, nguruwe na fisi? Je kwa viumbe ambao hawana mbavu wanawake wao walitokana na nini? Hovyo kabisa ww.
Mmh!Wakiitwa wenye akili nawewe unakwenda? Eden ni hadithi ya kubuni ambayo haipo pahala popote duniani. Hivi unaamini mwanamke katwaliwa kwenye ubavu wa mwanaume? Je ni hivyohivyo hata kwa wanawake wa mbu, mbuzi, vyura, nyuki, nguruwe na fisi? Je kwa viumbe ambao hawana mbavu wanawake wao walitokana na nini? Hovyo kabisa ww.
hahaaaa.,..Mkuu akili hatujanyimwa
Kuna mengi sanaaa yapo secret nataman siku niyaweke wazi lakini najihofia
Kuhus alliens hao kwa macho yangu kipindi nipo mdogo nikiwaona Na walinichukua