Watu wanatengeneza mipango ya hela.Hivi hawa wanaotengeneza bustani kona ya Nyerere Road na Mandela hawana habari kuwa Ujenzi wa madaraja hapo karibu unaanza? Hiyo miti na maua wanayopanda si itang'olewa tuu? Hii kweli kichekesho na ni jipu hili linafaa litumbuliwe