kipangwaaa
Member
- Nov 11, 2013
- 11
- 7
Bustani ya Eden apo!adamu na eva waleeeeee!!!!
MziziMkavu njoo utupe jibu.Ipo wapi?
Kama wakipata division five,nawe pia utapata division five!
Kwanini unasema hivyo?
Jibu hapo ni B holand amstedm
Mkuu......mbona Ulaya wengine hatujawahi kufika........
Teh teh teh!shabiki wa Man U!Kwa akina Van magoli Persie,Holland
Mkuu inawezekana ni kweli Preta hajawahi kufika ulaya!Kesho Jumapili bana, anza kuwa Mkweli By the way, hizo TULLIP, zinanipa jibu kuwa ni Waholanzi hao.
Teh teh teh!Division Five inakunyemelea!Chabo zinaruhusiwa, mana ulaya sikuji ntajibu nini miye?
Jipe moyo mkuu ipo siku utafika tu!Ndo kwanza Ulaya naisikia kwenye vyombo vya habar mkuu
Kwa kusema ukweli Bustani hii ni nzuri sana!aisee Nimeipenda.....
Mkuu yanayofanyika Ulaya ata hapa yanaweza kufanyika,ni kujipanga tu!Mhhhhh
dunian ndo huko bana
ndo maana viongoz wetu,wanapishana angan kwenda ughaibun
acha tu nikisie
england