Busisi kimenuka!

Busisi kimenuka!

Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure
Huwa sielewi competency ya TAMESA jamani, ipo mifano mingi ambayo inaonesha incompetency ya TAMESA, mfano;
1. Kuna siku mtu alikuwa anataka kuwalipa TAMESA kwa matengezo ya gari fulani, aisee aliomba Control Number hakufanikiwa hadi 2 weeks baada ya kwenda mbali zaidi.

2. Kuna siku pale Kigamboni wasaidizi wote walikuwa wamejazana kwenye MV Magogoni wamejisahau magari yameingia yote kumbe askar wa kufungua lango nae yupo huko anashangaa magogoni hadi watu wameanza kuoiga kelele ndo wanashtuka eheee kumbe lango la kuruhusu abiria kuingia kwenye panton halijafunguliwa.

Kwa kifupi TAMESA ni taasisi fulani ambayo inatakiwa kufumuliwa fully na kusukwa upya kbs.
 
Tatizo mliambiwa ni nini labda au kulikuwa na mawimbi mengi ziwani?
Kinafanya kazi kivuko kimoja tu kingine kimepaki kibovu sasa kuna foleni ya kufa mtu, trh 02/06/2022 nilikuwa naenda Geita kusherehesha (Mimi ni Mc) nikachukulia kimazowea tu nikaenda kupanda Basi nyegezi stendi saa 8, kwa hesabu za haraka nasema naingia Geita saa 11 au 12 hivi.......tuliingia Geita saa 3 usiku
 
Haya mambo kipindi cha JPM hayakuwepo..

Serikali ya walamba asali inahujumu masuala ya umma ili waingize vivuko vyao wapige pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi kama unatoka Mwanza kuelekea Sengerema kupitia Usagara pale unaposubiria kivuko kwenda upande wa pili ndipo panaitwa Busisi au Kigongo?
Upande wa Misungwi huku ni Kigongo, upande wa ng'ambo kule Sengerema ni Busisi
 
Back
Top Bottom