Business patner

munally14

Member
Joined
Mar 5, 2020
Posts
84
Reaction score
87
Habar wana JF mimi ni mkemia na pia ni mjasiriamali kindly nahitaji patner wa kuanza nae biashara ya vipodozi in a large scale.

Faida atakazozipata
*Mi mwenyewe na design formula za vipodozi.
*Najuana na masuplier ambao direct from China.
*Extra akiwa ni mkemia pia itachangia into better product zaidi.

The things we need in our investments
  • Eneo ambalo kidogo ni changamoto
  • The small scale mixing machine
  • Filling machine
  • Na package

Ideally bidhaa tunazotaka kuzalisha ni cream, lotion, serum, body oil na sabuni kwa matibabu aina tofauti.

Ambae yupo intrested i will apprecite. Anaweza kuwasiliana nami kupitia;

0742009965 you can watsap or email me through munally14@gmail.com
 
Kwa ufupi unahitaji kuanza medium scale industry ya vipodozi, kiwanda cha pondoa kama kilioko mkoa wa Tanga,.......hapa kuna mahitaji mengi ya paper work, na ukiritimba wa nchi yetu hicho kiwanda kitachukua mda, pamoja na hilo mtaji sio chini ya 100m kama kweli unahitaji quality work hamna vitu vyenye bei ghari kama chemicals
 
A good idea safi ndugu.
 
Hongera kwa wazo. Jitahidi liwe uhalisia na nina imani bidhaa zako hazina side effects kwa wanaadamu. Nina machache. Mosi, andaa business plan. Kwani hiyo itawasaidia ku project trends of your business cycle, pili itawasaidia ku-set contingency plans for the success of your business, na mwisho mutaweza kufahamu at least the estimated real cost and revenue ya biashara yenu.

Vile vile, uwekapo tangazo kama hili zingatia kuweka time limit na location. Kwamba, wewe upo wapi na partner awe anatoka wapi au awe wa maeneo gani. Pili biashara itakua wapi. Na ni muhimu kusema kwamba utakua unapokea simu au ujumbe wa maandishi WhatsApp au email kwa muda upi na mwisho ni lini. Hiyo itakusaidia kuvutia watu wawe ndani ya muda na itafanya uonekane more professional, ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…