Business partners required

Willibald

Member
Apr 10, 2016
24
1
Nawakaribisha tushirikiane katika biashara kwa mfumo wa kununua shares. (Share dilution)

SECTOR: BUILDING MATERIALS/CONSTRUCTION

FORM OF BUSINESS: PRIVATELY LIMITED COMPANY

COMPANY EXPERIENCE: 5YEARS

NO OF SHARES SOLD: 490 (49%)

PRICE/SHARE: TSH 165000/=

MINIMUM SHARES: 20

For serious investors
Call. 0674 338225
 
mkuu nimekuwa interested na hii ila details umeweka chache, ningependa kujua performance ya kampuni ndani ya miaka 3 ya karibuni, pia na financial position yake (assets na liabilities) kwa kuwa mtakuwa na records, kampuni ipo wapi , na nitapataje security ya uwekezaji wangu n.k
natumaini utajibu
 
Kuna vitu viwili kwenye kuuza share
inawezekana kampuni inataka kufa then mtu anauza share ili kuiboost.
Maana hapo umesema minimum shares 20,ambapo ni sawa na 3,300,000
Je bila mchanganuo?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Nawakaribisha tushirikiane katika biashara kwa mfumo wa kununua shares. (Share dilution)

SECTOR: BUILDING MATERIALS/CONSTRUCTION

FORM OF BUSINESS: PRIVATELY LIMITED COMPANY

COMPANY EXPERIENCE: 5YEARS

NO OF SHARES SOLD: 490 (49%)

PRICE/SHARE: TSH 165000/=

MINIMUM SHARES: 20

For serious investors
Call. 0674 338225
Taratibu na ujasiriamali wako mzee; hebu toa details zaidi! Kila senti uliyonayo leo counts lots; inaitwa "the magufuli factor"! tunataka security baba!
 
Kuna vitu viwili kwenye kuuza share
inawezekana kampuni inataka kufa then mtu anauza share ili kuiboost.
Maana hapo umesema minimum shares 20,ambapo ni sawa na 3,300,000
Je bila mchanganuo?
Naona huyu anatufungia mbuzi ndani ya gunia!
 
Private Companies 27.-(I) A ''private company'' means a company which by its articles(a) restricts the right to transfer its shares;
 
Private Companies 27.-(I) A ''private company'' means a company which by its articles(a) restricts the right to transfer its shares;
But they can sell their shares through "syndicate"...
 
Dear friends
The idea is to join effort for our successfulness.

Everything will be open to whomever shows a serious interest in doing business in partnership in form of a Company.

In no way can I answer every question of yours in this platform

Show your seriousness by just calling

For 0674 338225
 
Kama uko serious kama unavyotaka sisi kuwa, acha mambo ya ujanjaujanja tuambie financial position ya kampuni yako ndani ya miaka 3, biashara inayofanyika kwa sasa na malengo ya baadaye, vinginevyo wewe pia hauko serious
 
Back
Top Bottom