Business partners needed/washirika wa biashara wanahitajika

Submissive

Member
Sep 19, 2012
73
0
Mwaka 2014 ndo huo uko mdomoni, je utaumalizaje?
Wengi wetu mwaka 2013 ulikuja na hatukufanya chochote cha kuleta tofauti sana.
Nikukaribishe kuungana nami ili nikuonyeshe namana ya kuufanya mwaka 2014 uwe mwaka wako wa mafanikio. Ni biashara ambayo unaweza kufanya muda wako wa ziada kama ni mfanyakazi kama mimi au unaweza kufanya full time kama ungependa. Baada ya mwaka mmoja unaweza ukatengeneza kati ya 4 to 7m ukiwa serious. Ni kitu ambacho wengi tunafanya na tunafanikiwa sana.

Nakuhakikishia yafuatayo:
1. Mtaji ni mdogo
2. Utashikwa mkono mpaka biashara uilewe/support
3. you will change your life complitely.

Tuwasiliane: just inbox me.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,621
2,000

Watz tuwe makini,
Hili jukwaa linapashwa kuwa la wazi, lenye vitu vinavyotekelezeka ktk kuvifanya kwa mazingira yetu ili hatimaye liweze kutuokoa wengi na mwisho wa siku walioanzisha wafarijike kwa matokeo ya kazi yao.

Ukiona issue yako ni ya sirini, jitahidi utafute media nyingine.

Mfano, huu uzi una heading nzuri sana, ukizama ndani patupu.
 
Submissive

Member
Sep 19, 2012
73
0
jamani, muwe waelewa. you can not explain each and everything here kwa sababu kuna watu always they have negative moods . Amabao wako tayari will definetely come, as other have already seen the oportunity.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,621
2,000
jamani, muwe waelewa. you can not explain each and everything here kwa sababu kuna watu always they have negative moods . Amabao wako tayari will definetely come, as other have already seen the oportunity.

Ni kweli wapo watu wenye mtizamo hasi kwa vitu vya jinsi hii, lakini ulitakiwa utoe maelezo ya awali ya biashara yenyewe, halafu hizo habari za ndani mtoe kwa aliyenogewa.

Uzoefu hapa jukwaani unaonyesha kuwa, ukishaitwa chemba,ujue ni haya ma-pyramid bz.

Kwa hiyo toa trela la bz yako.
 
Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
407
0
Q "How becamest thou so wealthy?"
A "By taking advantage of opportunities available to all citizens of our good city."
Q "Thou hadst nothing to start with?"
A "Only a GREAT DESIRE for wealth. Besides this, nothing." The richest man in Babylon.
 
sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,200
2,000
Huyu jamaa anataka tumwuzie bidhaa! Sijui ni bidhaa gani hata! Hahahaha. Ndivyo wanavyoanzaga! Ungeeleza kwa kifupi kama ni vgumu kuandika kila kitu
 
NAXFRA

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
388
225
Mwaka 2014 ndo huo uko mdomoni, je utaumalizaje?
Wengi wetu mwaka 2013 ulikuja na hatukufanya chochote cha kuleta tofauti sana.
Nikukaribishe kuungana nami ili nikuonyeshe namana ya kuufanya mwaka 2014 uwe mwaka wako wa mafanikio. Ni biashara ambayo unaweza kufanya muda wako wa ziada kama ni mfanyakazi kama mimi au unaweza kufanya full time kama ungependa. Baada ya mwaka mmoja unaweza ukatengeneza kati ya 4 to 7m ukiwa serious. Ni kitu ambacho wengi tunafanya na tunafanikiwa sana.

Nakuhakikishia yafuatayo:
1. Mtaji ni mdogo
2. Utashikwa mkono mpaka biashara uilewe/support
3. you will change your life complitely.

Tuwasiliane: just inbox me.

naxfra@gmail.com
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom