Business ideas

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
543
37
Hi jf members,in life people gifted into diffent ways.
Others are born to rule
others born to run.
I have born to formulate business ideas.
I have a lot of business i dear tht some of them are total new in your mind.
Am second year in DBA frm C.B.E pleas take thz serious.
If you want to start a business but you dnt have strength and vision am also gives some business man strategies tht they can sale to maximum.
Please get intouch with me through
0713-810857
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,237
799

Mkubwa Imma one.
Nashukuru kwa uzi wako huu ulengao kuboresha maisha ya walio wengi.
Nakushauri utumie kiswahili lugha ya taifa kwani kiingereza kinakupiga chenga.
OTIS.
 
Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
Sasa mkuu tuwekee na gharama kabisa ili tujue au kama free pia tuambizane bana mi naona hilo ndo umesahau
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
150
ushauri wangu kwako mkuu Imma.one, ukimaliza shule tafuta scholarship uende nje ya nchi inayozungumza kiingereza fasaha ukapigwe msasa kwa mwaka mmoja au zaidi.

Ukiwa fluent kwenye hii lugha ...afu ukichanganya na ideas zako naamini mambo yatakunyookea.

Hi jf members,in life people gifted into diffent ways.
Others are born to rule
others born to run.
I have born to formulate business ideas.
I have a lot of business i dear tht some of them are total new in your mind.
Am second year in DBA frm C.B.E pleas take thz serious.
If you want to start a business but you dnt have strength and vision am also gives some business man strategies tht they can sale to maximum.
Please get intouch with me through
0713-810857
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
538
Imma.One.
unamawazo mazuri, pia its a sign of growing up,maliza kwanza shule then uje into real jungle ,ushauri wa bure,chagua lugha ya kutumia kati ya hizi:
1-kiswahili
2-kiswanglish (kama nilichotumia hapo juu)
nimerudia kusoma thread yako nikagundua huja tumia neno lolote la kiswahili,hivyo ni dhahiri ulikusudia kutumia kingereza.ndio maana wengi wamekukosoa.
hamna aliyezaliwa anajua,ila hapa JF siyo wavumilivu kwa mtu anayeandika kingereza kibovu kisicho na mashiko kama hicho ulichotumia.watu wa Jf wanathamini mawazo yako kuliko lugha yako.
bora ufute/edit ulichoandika ,ukiandike ktk lugha mbili nilizokushauri hapo juu.
 
naivasha

Member
May 13, 2011
94
29
poleni wana JF. Imma.one jamaangu huyu namfahamu sana. Atawachanganya bure kwa yeye alishachanganyikiwa kipindi. Ebu soma Threads zake hapo juu mara mbili tatu! Hapana shaka unapata jibu kiurahisi. Kichaa huyu na hawa vyuoni ni wengi na ujifanya vipanga na wazee wa busara. Huyu ni wa kupotezea tu.
 
HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,552
691
dah kijana mkare.... at least share with us some few tips, how can we trust you?? jamani vijana kwa mbwembwe, sina mbavu.
 
changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
90
poleni wana JF. Imma.one jamaangu huyu namfahamu sana. Atawachanganya bure kwa yeye alishachanganyikiwa kipindi. Ebu soma Threads zake hapo juu mara mbili tatu! Hapana shaka unapata jibu kiurahisi. Kichaa huyu na hawa vyuoni ni wengi na ujifanya vipanga na wazee wa busara. Huyu ni wa kupotezea tu.

Huo ni wivu au? acheni kukatishana tamaa!
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
150
Changman najua wewe huna wivu! Mwambie imma.one ajiunge na website yako ili awe ana post ideas zake.

Mkuu imma.one ingia www.bizforsure.net uanze kumpa changman ideas zako.

Huo ni wivu au? acheni kukatishana tamaa!
 
akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
784
502
Hi jf members,in life people gifted into diffent ways.
Others are born to rule
others born to run.
I have born to formulate business ideas.
I have a lot of business i dear tht some of them are total new in your mind.
Am second year in DBA frm C.B.E pleas take thz serious.
If you want to start a business but you dnt have strength and vision am also gives some business man strategies tht they can sale to maximum.
Please get intouch with me through
0713-810857
 
akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
784
502
Huu ni uchoyo, Uchoyo sio tamaduni tuliojiwekewa humu, "sharing is caring brother" nahakika Imma One hata wewe umeisha jifunza mengi sana kupitia JF.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom