Business idea in tourism

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mimi ni mdau wa tourism kwa miaka 15 sasa. Nina Diploma ya hospitality management na BBA. Mwaka 2007 nilianzisha new project in a foreign company tukafungua a tented semi permanent lodges in Ngorongoro and Serengeti. Tuli invest usd600,000 for two units na kampuni ilipata return afer one year. Financials za mwaka jana mpaka August the company made gross revenue USD1.4M while the netprofit was USD500,000.

So now I have a business plan for the similar project which needs capex budget of USD350,000. Set up period ni miezi sita tu so as to be in full swing as from August 2011. Return on investment is 40%.

Hii ni viable project na nina confidence kwamba I can do it.
 
HONGERA SANA,Kumbe kila kitu kinawezekana,naweza kupata wapi maelezo kuhusu hiyo kampuni yenu ya kwanza e.g website au chochote,ningetaka kukuzidishia kipato kwa kukuletea watalii,naona hubabaishi!
 
HONGERA SANA,Kumbe kila kitu kinawezekana,naweza kupata wapi maelezo kuhusu hiyo kampuni yenu ya kwanza e.g website au chochote,ningetaka kukuzidishia kipato kwa kukuletea watalii,naona hubabaishi!

Great, could y pls PM me then will give you the contacts
 
Mkuu ili kupata partners usisahau pia kwamba hao customers wenu wa mwanzo kwenye venture ya kwanza ungechukua contact zao ili nao uwape issue kwamba unataka kufanya such a thing..., kwanza sababu wametoka nje (and strength of their currency) itakuwa rahisi kuraise funds, pili watakuwa ni source nyingine ya kuleta customers (they will be recommending their friends). What I mean is get as many people as possible and in the end choose the right partner..., kumbuka in partnership its not only about money its people character as well hutaki mtu awe anakupumulia kwenye shingo, na kukuendesha kama gari bovu, just because alitoa pesa.
 
Kila la heri mkuu maana
wapo wenye pesa ila hawajui wainvest wapi.
Wapo wenye ideas ila mtaji shida,
wapo wenye pesa na ideas za investment ila ni waoga wa kujaribu.
Wapo ambao hawana hata moja kati ya hayo.
 
Thanks mkuu ila labda niweke wazi kitu kimoja. Katika previous company nilikuwa employee. I introduced the idea, people pumped in money and the project kicked off. After three years I left that company ikiwa tayari iko successfull and its currently doing extremely good. Kwahiyo nataka mwenye capital tuungane tufanye similar business.
 
We acha tu ndugu. mana utajiri nauona unapita hivi hivi.
 
Thanks mkuu ila labda niweke wazi kitu kimoja. Katika previous company nilikuwa employee. I introduced the idea, people pumped in money and the project kicked off. After three years I left that company ikiwa tayari iko successfull and its currently doing extremely good. Kwahiyo nataka mwenye capital tuungane tufanye similar business.

Mkuu unataka muungano wa namna gani Partnership or joint venture?
 
Partnership then we form a partnership company (Limited Liability Company) LLC

May be you should know the disadvantages of being in a partnership business rather than joint venture.
In Partnership, you can't act as per your wishes na pia hutokua na individual identity ya huo mradi kwa sababu it will be for the group. Yet in a joint venture you can retain the identity of the firm or property. Pia kumbuka in partnership nirahisi sana kutofautiana since decisions are shared. sana sana hali kama hii hujitokeza kama sio wote mnaelewa hiyo biashara. Kwa upande wangu i think you should go for joint venture, get companies willing to work with you (like the previous one kama ulivyo eleza hapo juu) ila both companies should be having business related to that as a result it will be useful to all parties. However, you may find that no money required to market the entire business. I hope you got my concept. Kumbuka kazi ya utalii is a volatile business.

http://www.differencebetween.net/bu...-joint-venture-and-partnership/#ixzz1CVhp8Cel
 
Mkuu I am interested.let me know how I can get you

Just PM then I will get you my contacts. Kuna mtu ali ni PM na nikamjibu not sure who was he. Sikusoba ID yake na sina utalamu wa kurudi kwenye private message ili nisome tena ile message yake
 
Kila la heri mkuu maana
wapo wenye pesa ila hawajui wainvest wapi.
Wapo wenye ideas ila mtaji shida,
wapo wenye pesa na ideas za investment ila ni waoga wa kujaribu.
Wapo ambao hawana hata moja kati ya hayo.
we upo kundi gani? i hope sio hilo la mwisho//mi nipo ya tatu hapo
 
Back
Top Bottom