Business card ya Boss Ruge na Mhe. Makonda

Vitu viwili tofauti kabisa unafananisha!

kwahiyo unataka kuniaminisha kuwa kuna tofauti

1-kati ya wewe unayemuita member mwenzako wa JF MKUU wakati hana ukuu wowote kwako na anaweza hata akawa umri sawa na katoto kako

2-na yeye anayemuita RUGE boss ruge

nimekataa kuaminishwa kuwa hapo kuna tofauti
 
Tuseme hivi: huoni tofauti kati ya mambo mawili? Right? Yaani unaona yote ni sawa! Then sina msaada zaidi kwako! Na usisononeke wala kubishana kwani siyo lazima uelewe kila kitu.
 
Back
Top Bottom