Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,337
- 10,198
Huyu mnyasa mwenzangu sasa anawapeleka pabaya
invest what you are willing to lose
invest what you are willing to lose
Hii product alishaikana si yake na alitoa angalizo la matapeli wanaotumia jina lake
watu wanatumia tu majina ya watuHuyu mnyasa mwenzangu sasa anawapeleka pabaya![]()
invest what you are willing to lose
Kwa jinsi alivyo wateka. Lazima waaminiNi lazima uwe kichaa kuamini this bullshit! Its totally outrageous!
U ar smartHahahahahaaa wale wale wanacreate skendo alaf wanakana na kujitetea ili waonekane kuna watu wanachafua majina yao ili watu wapate kutambua uwepo wao hahahahahahahahaaaa so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ni kiki. Katengeneza mwenyewe ikauzwa pesa ndefu halafu akakana mbele ya mediasHii product alishaikana si yake na alitoa angalizo la matapeli wanaotumia jina lake