SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,263 Jan 10, 2016 #3 Wameachana na mambo ya hotpot, vijiko, sahani nk. Simple and traditional! But dont call it 'bush party!'
Wameachana na mambo ya hotpot, vijiko, sahani nk. Simple and traditional! But dont call it 'bush party!'
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jan 10, 2016 #4 Hiii nyama ya nini, isije kuwa kuna miharamu hapo.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,406 738,646 Jan 10, 2016 Thread starter #6 MNANSO said: umenitamanisha Click to expand... Unajua ni nyama ya nini lakini?
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 11, 2016 #7 mshana jr said: Unajua ni nyama ya nini lakini? Click to expand... Mkuu ni ya nini ?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,406 738,646 Jan 11, 2016 Thread starter #8 Totos Boss said: Mkuu ni ya nini ? Click to expand... Nyama pori hiyo kila variety iko hapo
M MNANSO JF-Expert Member Jul 18, 2015 1,980 1,457 Jan 14, 2016 #9 mshana jr said: Unajua ni nyama ya nini lakini? Click to expand... kama ya mbuzi vile
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,406 738,646 Jan 14, 2016 Thread starter #11 MNANSO said: kama ya mbuzi vile Click to expand... Hapana angalia vifuti vilivyo vikubwa
M MNANSO JF-Expert Member Jul 18, 2015 1,980 1,457 Jan 15, 2016 #12 mshana jr said: Hapana angalia vifuti vilivyo vikubwa Click to expand... ni ya nini
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,406 738,646 Jan 15, 2016 Thread starter #13 MNANSO said: ni ya nini Click to expand... Hata sijui