Nafsi yangu tu mkuu!!sasa unataka umfurahishe nani? Unakumbuka maneno ya Steve Jacobs(RIP)?
sasa unataka umfurahishe nani? Unakumbuka maneno ya Steve Jacobs(RIP)?
Mkuu Ram, kama nilivoeleza, kubebana sitaki, nahitaji kumaliza kila kitu ktk mpangilio sahihi lakini je bila huyu wa tatu kumuweka sawa nitafanikisha vp?Bishanga Heri ya mwaka mpya! Siku nyingi sijakuona kwa jamvi. Mmependana wawili sasa huyo watatu anatoka wapi STIDE?
Mkuu sihitaji shari na mtu ndo maana nahitaji kuwaweka sawa.Rudi utafute mwingine wa dini yako...usitake bifu na wakwe zako,utakosa amani bure na yeye pia...sijaona umesema unampenda sana! Anyway, kila la kheri...kubebana is not a good option.
Mkuu sihitaji shari na mtu ndo maana nahitaji kuwaweka sawa.
Kuhusu "kumpenda sana" nilisahau tu mkuu ila nampenda sana na ndo maana niko tiyari kutoa mahari!!
Asante kwa ushauri wako kama vp ongezea kidogo!!
Mkuu Ram, kama nilivoeleza, kubebana sitaki, nahitaji kumaliza kila kitu ktk mpangilio sahihi lakini je bila huyu wa tatu kumuweka sawa nitafanikisha vp?
Ni jinsi gani nitamuweka sawa? Ushauri kaka.
Ubarikiwe sana mkuu!!Waombe wazazi wako au wazee wengine wenye kuheshimika uliowaacha huku Tanzania waende wakazungumze na hao wazazi, na binti nae azidi kuwashawishi mkuu,ni hayo tu nayoweza kuongeza.
Asante sana KakaAnaeleta shida hapo ni mama mkwe, baba mkwe hana noma, jaribu kumuomba babamkwe wako aongee na huyo mama kwa kina amuelezee faida ya binti yao kuolewa, kuolewa ni jambo la heri jamani, la yeye akishindwa basi ajaribu kufanya kikao na wazee wenye hekima wa familia zote mbili ili wajaribu kumshawishi huyo mama. Huyo mama nae kapitwa na wakati anataka akae na huyo binti hapo hadi lini, Akitia ngumu mwache, Mungu ni mwema atakuaptia mke mwema, hakuna kitu kibaya ndugu yangu kama mgogoro wa dini. Na ndo watashanga binti yao atakapowaletea mapacha wasio na baba hapo home
Kwanini Mkuu?yalaaaaaa yani wewe upo majuu alafu totoz yupo bongo!! hamna kitu hapoa wala usijisumbue wangu. potezea kabisaaaaaa
Ya Kikristo mkuu! NI DHAMBI KWA MUNGU KWANI!!??Kwani wewe unataka kufunga ndoa ipi stide??ya kiislam,kanisan au bomani??
Asante sana Kaka
SAMAHANI na usijari ni vijimambo tu!STIDE mimi ni dada, bt usijali, karibu, hapa huwa hapaharibiki jambo. All da best
Kheri ya mwaka mpya wana Jf kila pande mlipo.
Wandugu, mwishoni mwa mwaka jana nilijitambua kuwa sistahili kuendelea kuishi peke yangu ktk dunia hii, hivo niliamua kwenda home kutafta atakae nifaa. Namshukuru Mungu nilimpata.
Ndugu zangu wana Jf, ktk mazungumzo yetu tulikubaliana kupima(tulifanya hivo) kabla ya jambo hili kulifikisha kwa wazazi.
Tatizo ni kwamba wazazi(upande wa binti) wanatia uzibe kwamba tuko majirani sana pale kijijini na mimi ni Mkristo nae ni Muislam!! Mzazi mmoja (kiume) hana noma sana ila mwingine ni noma!
Nimejaribu kutumia watu ili kushawishi juu ya jambo hili lakini wapi!!
Binti mwenyewe anasema "japo ni busara kuwasikiliza wazazi wake maana ndo wamemfikisha hapa hadi namuona lakini kama wataendelea kutia ngumu BASI TUBEBANE TU!"
Je wandugu nifanyeje maana natamani sana kufunga ndoa? Kubebana sitaki!! Wandugu mpaka sasa nimerudi kibaruani ugaibuni najiuliza la kufanya!!
BUSARA ZENU JAMANI!!
Jamani naomba kuuliza ndg zangu wana jf, ni dalili zipi ambazo anakuwa nazo mwanamke anayetumia vidonge au sindano za uzazi wa mpango? Na dalili hizi(kama zipo) huanza kujitokeza baada ya mda gani? Na je kuna uwezekano wa kuaribu nguvu za dawa hizo endapo mtumiaji atahitaji kuziharibu? Natumaini mwenye ufahamu tu juu ya hili atanijuza!! Shukrani za dhati kwa kila mwenye majibu ya busara!!