Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,844 Reaction score 10,768 Jul 22, 2012 #1 Wakuu naomba mnitoe tongotongo. Ni mara nyingi huwa namsikia spika akizungumzia busara za kiti wakati wa maamuzi ya mambo muhimu. Nachotaka kufahamu ni kama kanuni zinaruhusu spika kuamua vile anavyoona nivema ama la.
Wakuu naomba mnitoe tongotongo. Ni mara nyingi huwa namsikia spika akizungumzia busara za kiti wakati wa maamuzi ya mambo muhimu. Nachotaka kufahamu ni kama kanuni zinaruhusu spika kuamua vile anavyoona nivema ama la.