Busara Yenye Mantiki::Chama Tawala Kisishiriki Kuandaa na Kutekeleza Machakato Katiba Mpya

Thomas David

Member
Aug 22, 2008
51
3
..busara ambayo ina mantiki na labda wenye hisia za kichama zaidi wataona ina makengeza ya ajabu ni hii...chama tawala isishiriki kwa namna yoyote ile katika kuandaa na kutekeleza mchakato wa katiba mpya...sababu ni moja...hawatakubali katiba ambayo itahatarisha uwepo wao madarakani...picha halisi tumeiona kwenye maudhui ya muswada kwa marekebisho ya katiba...wameweka vizingiti vingi kutetea uhai wa utawala uliopo...
 
Back
Top Bottom