Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ni kweli mku afya zetu ni muhimu kuliko siasa. Shida ni kwamba wote hawaoni kama wewe unavyoona.Lakini, kama kweli kuna Covid-19; ni busara kuzipa kipaumbele afya za Watanzania dhidi ya siasa.
Mpk mnatia aibuMbowe atumie akili asione hiyo Corona kama mtaji wa kisiasa.
Uhalisia utawalazimu.Ni kweli mku afya zetu ni muhimu kuliko siasa. Shida ni kwamba wote hawaoni kama wewe unavyoona.
Chadema hawajawahi kuwa seriousAjizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg.Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Jana corona ilikua bado?Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua,
No I don't believe this. Wakati Mbowe akitangaza kuanza mikutano, Corona ilikuwa bado, lakini baada ya Corona kuingia, ataahirisha, April bado mbali.
P