Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,718
Kwanza kabisa BRAVO kwenu baraza la tiba asili kwa kuona huu ubabaishaji uliokuwa unashamiri kwa kasi hapa mjini, this sh*t was going out of control! Nlikuwa nasubiria tu atokee mjanja mmoja aseme anatibu cancer kwa kutumia viazi mviringo na si ajabu raia wangejazana kupata 'tiba'!! Kuna yule wa fadhaget yeye kwake unachagua kuwa na watoto mapacha kama unachagua bilinganya sokoni..
Kiukweli watu wako desperate na wametokea wajanja they are taking advantage of it...
Ila nadhani katika huu utumbuaji wenu kuna hisia fulani kwamba kuna mtu/watu fulani ndio hasa mliokuw mnawatafuta na kuwalenga ila kuondoa soo mkaamua muwaingize na wahanga wachache ili muonekane mmezingatia weledi!!
Nimekaa najiuliza hivi inakuwaje Dr. Mwaka anafungiwa kabisa alafu mtu kama Dr. Ndulu au yule tatibu wa Sigwa clinic anapewa onyo tu!! Fujo za kwenye media anazozifanya Dr Mwaka dar ndio hizo hizo anazozifanya Ndulu Morogoro!! Hivi huyu Mwaka si ndio mwenye ile 'ndondo cup'? Sasa morogoro kuna Ndulu cup!! Na matangao ya kutibu 'kila kitu' kama kawida.. Yani ndulu ndio 'Dr mwaka' version ya morogoro..
Sasa sijui mmetumia busara gani ila binafsi naona kama mlimlenga Mwaka na Mwenzake Fadhili.. Tofauti pekee ya mwaka na ndulu ni kwamba Ndulu ni DIWANI WA CCM kata ya Lukobe (nakaribisha masahihisho)..
Ushauri wangu kwa 'Mwaka & co.'
Unajua ukiishi kimjini mjini unatakiwa ujifunze 'kustay under the radar'.. Binafsi siamini tiba zenu ila nawaheshimu kama 'hustlers'... Maana mmekataa kuwa wahalifu mneamua kutumia akili kujipatia hela!! Tatizo lenu ni kwamba 'show off' nyingi. Hicho ndio kinawaponza... Kama huyu Dr fadhili akauki kutulingishia saa zake za 'Rolex' na ghorofa lake kwenye mitandao... Mwaka nae anataka aishi kama celebrity... Nlishangaa eti ameenda kufanya mahojiano kipindi cha '5 gear' clouds TV atulingishie range rover sport!! Hata hiyo ndondo cup na matangazo ya kupindukia ya nini??? Piga mpunga wako ishi kimya kimya tu, kama ni matangazo unafanya kiasi tu, ushakuwa brand kelele za nini??? Ndio una attract attention hivyo na matokeo yake ndo kama haya.. Wajanja wenzako wanapiga mpunga wanakaa kimya, kuuza sura instagram wanawaachia diamond na sepetu!!
Narudia, mimi siamini kabisa tiba zenu hata chembe lakini nawaheshimu kwa utafutaji hela... Najua Dr mwaka unaconections mjini, this will pass na utaendela na 'tiba' so from now on kuwa makini braza.. Piga hela ishi kimya kimya, jenga ghorofa masaki, drive vogue, nenda vacation Mauritius, live the life... Instagram waachie watoto wa shule! Avoid the spotlight.. Maisha yenyewe ndo haya haya tu.. Naamini LABDA tiba zenu kuna watu wamesaidika na kama hakuna kwangu mimi its all the same maana mwisho wa siku wote tunafuata 'law of natural selection (survival of the fittest)'