Busara gani imetumika kumfungia Dr. Mwaka na kuwaacha akina Costory Ndulu?

Habibu B. Anga

JF-Expert Member
May 7, 2013
6,557
25,670
Kwanza kabisa BRAVO kwenu baraza la tiba asili kwa kuona huu ubabaishaji uliokuwa unashamiri kwa kasi hapa mjini, this sh*t was going out of control! Nlikuwa nasubiria tu atokee mjanja mmoja aseme anatibu cancer kwa kutumia viazi mviringo na si ajabu raia wangejazana kupata 'tiba'!! Kuna yule wa fadhaget yeye kwake unachagua kuwa na watoto mapacha kama unachagua bilinganya sokoni..
Kiukweli watu wako desperate na wametokea wajanja they are taking advantage of it...

Ila nadhani katika huu utumbuaji wenu kuna hisia fulani kwamba kuna mtu/watu fulani ndio hasa mliokuw mnawatafuta na kuwalenga ila kuondoa soo mkaamua muwaingize na wahanga wachache ili muonekane mmezingatia weledi!!
Nimekaa najiuliza hivi inakuwaje Dr. Mwaka anafungiwa kabisa alafu mtu kama Dr. Ndulu au yule tatibu wa Sigwa clinic anapewa onyo tu!! Fujo za kwenye media anazozifanya Dr Mwaka dar ndio hizo hizo anazozifanya Ndulu Morogoro!! Hivi huyu Mwaka si ndio mwenye ile 'ndondo cup'? Sasa morogoro kuna Ndulu cup!! Na matangao ya kutibu 'kila kitu' kama kawida.. Yani ndulu ndio 'Dr mwaka' version ya morogoro..
Sasa sijui mmetumia busara gani ila binafsi naona kama mlimlenga Mwaka na Mwenzake Fadhili.. Tofauti pekee ya mwaka na ndulu ni kwamba Ndulu ni DIWANI WA CCM kata ya Lukobe (nakaribisha masahihisho)..

Ushauri wangu kwa 'Mwaka & co.'
Unajua ukiishi kimjini mjini unatakiwa ujifunze 'kustay under the radar'.. Binafsi siamini tiba zenu ila nawaheshimu kama 'hustlers'... Maana mmekataa kuwa wahalifu mneamua kutumia akili kujipatia hela!! Tatizo lenu ni kwamba 'show off' nyingi. Hicho ndio kinawaponza... Kama huyu Dr fadhili akauki kutulingishia saa zake za 'Rolex' na ghorofa lake kwenye mitandao... Mwaka nae anataka aishi kama celebrity... Nlishangaa eti ameenda kufanya mahojiano kipindi cha '5 gear' clouds TV atulingishie range rover sport!! Hata hiyo ndondo cup na matangazo ya kupindukia ya nini??? Piga mpunga wako ishi kimya kimya tu, kama ni matangazo unafanya kiasi tu, ushakuwa brand kelele za nini??? Ndio una attract attention hivyo na matokeo yake ndo kama haya.. Wajanja wenzako wanapiga mpunga wanakaa kimya, kuuza sura instagram wanawaachia diamond na sepetu!!

Narudia, mimi siamini kabisa tiba zenu hata chembe lakini nawaheshimu kwa utafutaji hela... Najua Dr mwaka unaconections mjini, this will pass na utaendela na 'tiba' so from now on kuwa makini braza.. Piga hela ishi kimya kimya, jenga ghorofa masaki, drive vogue, nenda vacation Mauritius, live the life... Instagram waachie watoto wa shule! Avoid the spotlight.. Maisha yenyewe ndo haya haya tu.. Naamini LABDA tiba zenu kuna watu wamesaidika na kama hakuna kwangu mimi its all the same maana mwisho wa siku wote tunafuata 'law of natural selection (survival of the fittest)'
 
Post zingine ukizisoma hazieleweki kama walivyokuwa juzi washabiki Wa Yanga baada kuingia bure na kufungwa
 
Mbona bado nasikia matangazo yake Magic Fm ... Au Magic Fm haipo Tanzania
 
Hakuna kingine zaidi ya busara za kisheria,kanuni na taratibu za tiba asilia/mbadala.
 
ha ha, kijana umenifurahisha

Ndulu yeye ka base sana kwenye tiba asilia tu, hajachanganya sana na madawa ya hospitali, ndicho kilichomponza Mwaka

post yako ni nzuri sana, kikubwa wajue kuwa tunafahamu ni wahuni tu! na wameishi hivyo miaka mingi....kama tiba ni kisaikolojia zaidi, lakini sio eti dawa zao zinaponya!!!

show off life ni likely kwa watu ambao hawakuwahi kudhania au kutegemea kuwa watafika hapo

show off in another case ni alama ya 'once was poverty'
 
Hizi tiba mbadala hizi, tulimpoteza mtu wetu wa karibu, alikua muathirika na yuko kwenye ARV miaka 7 maisha yanakwenda vizuri tu. Baada ya kusikia kikombe cha babu wa Loliondo alikwenda, aliporudi aliacha ARV, kwakua tulijua amekua na undectable status kwa miaka 7 hakuna aliekuwa anamuuliza wala kufuatilia. Tumekuja kushtuka bwana mtu mgongwa, hospitali wanatuambia HIV imekwisha kuwa AIDS hakuna cha kufanya zaidi. Alipoacha kwenda clinic kwa check up hakujua viral load inaongezeka. Jamani ninawausia wapendwa kunyweni ARV zenu mengine muachieni Mungu.
 
Mbona bado nasikia matangazo yake Magic Fm ... Au Magic Fm haipo Tanzania
Watu wana magodfather mjini!! Ukitingisha kibiriti na wao wanatunisha misuli... Foreplan haiwezi kufungiwa milele, wanamtishia mtu mzima nyau
 
ha ha, kijana umenifurahisha

Ndulu yeye ka base sana kwenye tiba asilia tu, hajachanganya sana na madawa ya hospitali, ndicho kilichomponza Mwaka

post yako ni nzuri sana, kikubwa wajue kuwa tunafahamu ni wahuni tu! na wameishi hivyo miaka mingi....kama tiba ni kisaikolojia zaidi, lakini sio eti dawa zao zinaponya!!!

show off life ni likely kwa watu ambao hawakuwahi kudhania au kutegemea kuwa watafika hapo

show off in another case ni alama ya 'once was poverty'
Kabisa! Poverty mentality ndio inatuponzaga sana wabongo, ukipata vimilioni kadhaa unataka kila mtu ajue kuwa sasa unazo
 
Hizi tiba mbadala hizi, tulimpoteza mtu wetu wa karibu, alikua muathirika na yuko kwenye ARV miaka 7 maisha yanakwenda vizuri tu. Baada ya kusikia kikombe cha babu wa Loliondo alikwenda, aliporudi aliacha ARV, kwakua tulijua amekua na undectable status kwa miaka 7 hakuna aliekuwa anamuuliza wala kufuatilia. Tumekuja kushtuka bwana mtu mgongwa, hospitali wanatuambia HIV imekwisha kuwa AIDS hakuna cha kufanya zaidi. Alipoacha kwenda clinic kwa check up hakujua viral load inaongezeka. Jamani ninawausia wapendwa kunyweni ARV zenu mengine muachieni Mungu.
Dah!! Well said, hata hizi 'sanitarium clinics' zimepoteza watu wengi sana... Huku uswahilini akina mama wana amini hawajamaa wanatibu kila kitu
 
ha ha, kijana umenifurahisha

Ndulu yeye ka base sana kwenye tiba asilia tu, hajachanganya sana na madawa ya hospitali, ndicho kilichomponza Mwaka

post yako ni nzuri sana, kikubwa wajue kuwa tunafahamu ni wahuni tu! na wameishi hivyo miaka mingi....kama tiba ni kisaikolojia zaidi, lakini sio eti dawa zao zinaponya!!!

show off life ni likely kwa watu ambao hawakuwahi kudhania au kutegemea kuwa watafika hapo

show off in another case ni alama ya 'once was poverty'
Asante asipokuelewa MTU hapo,nadhani atakuwa Mke au Mwaka mwenyewe
 
Mods uzi niliupost jukwaa la Hoja Mchanganyiko kwanini mmehamishia Jukwaa la siasa, sijaelewa...
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom