BUSARA CENTER FOR BEHAVIOURAL ECONOMICS

Duh poleni sana, ila ungewasilisha kwa mamlaka husika pia, tatizo Watanzania mna desturi ya uwoga uwoga, mnachekea mabosi huku mkumia kimya kimya, na hapo utakuta wanaowanyanyasa nyie ni hao hao Watanzania wenzenu, ripoti wanazowasilisha makao makuu ni tofauti na uhalisia, hili lipo sana huko kwenu kwenye makampuni, mnadhulumiana sana na mlivyo waoga mnachekelea tu.

Hapa Kenya ni faya...
 
Back
Top Bottom