Bus for sale

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
P1000200.JPG P1000199.JPG P1000204.JPG P1000197.JPG Nauza gari ya abiria ambayo ina viti 32 na ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi ya shule.Aina ya basi hii ni Mercedes Benz ambayo vipuli havina shida na engine ni 4lt automatic na ni ya mwaka 1994.Naliuza kwasababu nipo nje ya nchi na usimamizi wake kidogo unanisumbua kwa kumuachia mtu dhamana.Unaweza kupata maelezo au kama utapenda kwenda kuliona unaweza kuwasiliana na Habibu 0717810318 na lipo Dar mitaa ya Magomeni.Mimi nahitaji milioni 16.Shukrani..
 
King Kong III.. Inayo reg ya TZ kwasababu inafanya kazi ya shule karibu mwaka sasa.
Popiexo.. Ilianza na biashara ya daladala lakini kama unavojua madereva hawakutunzii gari na wanajali mlo wao tu kwahio ilikua haitulii sana japo mara moja au mbili kwa mwezi inabidi uitengeneze kitu.Lakini biashara ya shule inatulia sana kwasababu pesa ni ileile unapata kama daladala na haifanyi kazi sana hata matairi yanatulia isipokuwa tu inafanya siku tano kwa wiki lakini nauhakika kama unasimamia mwenyewe basi utakuwa na tenda kibao zitakazo kuingizia pesa nzuri tu.To be honest ni mara yangu ya kwanza kuingia humu sasa najaribu jinsi gani ya kuiweka picha nitajaribu baadae jaribu tena kuingia unaweza kuzipata picha bila ya wasiwasi.Asanteni.
 
Reg za TZ zilishakufa kitambo,
Najua hujaelewa swali kaka, ni T ### ZZZ style ndio tunayoiulizia,
Importation date,
Picha,
Odometer,
 
SHARK...Sijamaanisha hivo lakini kweli sijafahamu swali,Reg yake ni T953BQW lakini kuhusu Odomiter tafadhali naomba uwasiliane na Habibu 0717810318 kwasababu sipo huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom