Burundika na Mahaba ya Kasie....

Kuna ile inaitwaje sijui... Mwanameka......

I really like the lyrics za ule wimbo na whole story.

Sijui mtunzi aliwaza nini miaka hiyo. Maana wakina mwanameka wamejaa saana siku hizi.

Dj Kasie niwekee. Nitafutie na mrembo kipusa tucheze



Burundika na mwanameka hiyoo

Twende mbele sendeemaa rudii nyumaa sendeemaa kushoto kulia sendeemaa sendeemaa sendeemaa. .........

Twende pamoja hapoo hapoo hapoo mpaka chinii mpaka chinii.....

Huo wa kipusa ulimaanisha wa Ali Kiba.... nimeutafuta kwenye santuri zangu sijauona.
 
Kipusa nilimaanisha mrembo wa kucheza nae.
 
Kipusa nilimaanisha mrembo wa kucheza nae.

Hahahahaaa sikuwa nimeelewa.

Haya warembo mnaopenda na mnajua kuyasakata mangoma, nafasi hiyo ya kulisakata rhumba na bwana Sumbai.....

Basi watakuitika acha mie niendelee kupiga santuri zangu.
 
Hahahahaaa sikuwa nimeelewa.

Haya warembo mnaopenda na mnajua kuyasakata mangoma, nafasi hiyo ya kulisakata rhumba na bwana Sumbai.....

Basi watakuitika acha mie niendelee kupiga santuri zangu.
S nbb
 
Duuh hapo kwenye hug hapoo..... tutagandana aiseeh .....

Usisubiri mie ntakuja kwa kustukiza. ....

Kasie Matata.


Lol....sawa Mamie Kasie. I love your humor, Mungu akusaidie uzidi kuelimisha wengine. Never good to be serious all the time.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…