Kasie mamitooo, nahitaji partner ila njoo peke yako....usiku huu sihitaji vibaka na sina nguo zaidi ya boxer hapa nilipo. Ukija mlango wa kuingilia sijafunga, nimeegesha tu kwa ajili yako.
Wee omba tuu kama kipo utapewa tuu. And as tu machejo ya kudance.
Hahahahhahaa weweee... mambo ya Tabora jazz eeehh umenikumbusha mbalii.
Haya enjoy your day.