Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,553
- 11,847
Za mikoani zote urirhi wa Mjerumani pia!Chamwino na kila Makao makuu ya Mikoa zipo ikulu Ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Za mikoani zote urirhi wa Mjerumani pia!Chamwino na kila Makao makuu ya Mikoa zipo ikulu Ndogo
nimekuelewa mkuu,kwa hiyo serikali ya tanzania haina uwezo wa kujenga msikiti.Hivi ulishawahi Tanzania ikiiomba Burundi iwajengee hivyo viwanja?, au Marekeni ilishaiomba Tanzania msaada wa ARVs? Nacho taka ufaham kwamba Vyote ambavyo Tanzania imeomba ni kwa sababu kwa wakati huo viko nje ya uwezo ndio kisa cha kupiga goti kwa madoner ili tufadhiliwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Seriosly ??Rais alikuwa amepanga Nyumba ya mtu pale Bujumbura ndio akaigeuza kama ikulu.. Nilikuwa najua since way back tu kwamba Burundi hawana ikulu. I was shocked? [emoji32]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa walihama toka Bujumbura ilikokua ikulu ya zamani,wakahamia Gitenga nadhani huko wakajenga ikulu mpya ndio hii ya mchinaInamaana Ikulu iliyokuwa ikitumiwa walikodisha? au Rais alikuwa akifanyia shughuli za kiserikali nyumbani?
Glass...........kaazi kwelikweli kiingereza cha wenyewe andika tu kiswahiliI always say Africans we had to remain in the jungle eating glass and not living in the cities