Baada ya vita ya kwanza na mjerumani kupigwa ndo wakagawana wale walioshinda. Tanganyika akapewa mwingereza, Burundi mbergigi na Rwanda mfaransa.Nchi ya Burundi ilikuwa chini ya Mbelgiji
Baada ya vita ya kwanza na mjerumani kupigwa ndo wakagawana wale walioshinda. Tanganyika akapewa mwingereza, Burundi mbergigi na Rwanda mfaransa.Nchi ya Burundi ilikuwa chini ya Mbelgiji
Nashukuru sana kwa masahihisho yako. Hivi nchi gani in the west ambayo ilikuwa ikitawaliwa na wareno? Savimbi si alikuwa mtu wa Namibia na walipigana vita kwa muda mrefu wenyewe kwa wenyewe?Namibia haikuchukuliwa na wareno, ilichukuliwa na south Africa iliyokuwa chini ya utawala wa makaburu.
Momemt of silence kwa ajili ya ajali ,get well soo pundaAddis unakwenda mbali, pale Dodoma makao makuu ya kijani wameweka camea mpaka chooni.
Asante kwa kunijuza Sasa ikawaje wafaransa wakawa na influence huko? Unaweza niambia, hata jeshi la Rwanda lilikuwa linafunzwa na wafaransa.Rwanda ilikuwa chini ya ubelgiji pia,baada ya Ujeruman kushindwa vita.
NiSisi waafrika ni Nyani... Tena Nyani Ngabu wakubwa. Imagine tangu mwaka 1964 kuna nchi ya afrika haina hata uwezo wa kujenga kitu kidogo kama ikulu yake hadi ijengewe na wachina?
For that case I don't think if we have what it takes to be civilized human!? No!
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unawaonea tu warudi...makao makuu ya AU pia yamejengwa na wachina..afrika kunalaana flan hiviSisi waafrika ni Nyani... Tena Nyani Ngabu wakubwa. Imagine tangu mwaka 1964 kuna nchi ya afrika haina hata uwezo wa kujenga kitu kidogo kama ikulu yake hadi ijengewe na wachina?
For that case I don't think if we have what it takes to be civilized human!? No!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyani baba akoSisi waafrika ni Nyani... Tena Nyani Ngabu wakubwa. Imagine tangu mwaka 1964 kuna nchi ya afrika haina hata uwezo wa kujenga kitu kidogo kama ikulu yake hadi ijengewe na wachina?
For that case I don't think if we have what it takes to be civilized human!? No!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulishawahi Tanzania ikiiomba Burundi iwajengee hivyo viwanja?, au Marekeni ilishaiomba Tanzania msaada wa ARVs? Nacho taka ufaham kwamba Vyote ambavyo Tanzania imeomba ni kwa sababu kwa wakati huo viko nje ya uwezo ndio kisa cha kupiga goti kwa madoner ili tufadhiliwe.unaelewa vibaya,hujui mifumo ya misaada ya wahisani ilivyo,unaweza jengewa kituo cha afya na norway sio kwamba wewe huna uwezo,maktaba ya taifa ilijengwa na warusi,secondary bagamoyo ilijengwa na wacuba,raisi alimuomba mfalme wa morocco atujengee msikiti na uwanja wa mpira,ina maana tz haina uwezo?
Lugha ya kifaransa,wabelge waliintroduce lugha ya kifaransa. Hivyo lugha ya kifaransa ndo iliwasogeza karibu wafaransa huko.Asante kwa kunijuza Sasa ikawaje wafaransa wakawa na influence huko? Unaweza niambia, hata jeshi la Rwanda lilikuwa linafunzwa na wafaransa.
We mrundi wa kigoma naona jiwe limekupata!? Nyie warundi ni Nyani OG kabisa ndio maana kagame anataka kuwafyekelea mbali.Nyani baba ako
Sasa kujenga ikulu inaweza kuwa less priority kwenye nchi gani Duniani? Pahali ambapo Rais anapanga mipango ya kuipeleka nchi mbele hajapapa kipaumbele!? Then anategemea nani aje amjengee? Ikulu ni mahala patakatifu as late Kambarage insisted.Ni
suala la priorities tu wala siyo uwezo ni kama vile CHADEMA toka 1992 ni wapangaji tu.
Kwani kabla unadhani alikuwa anafanya kazi zake chini ya mwembe?Sasa kujenga ikulu inaweza kuwa less priority kwenye nchi gani Duniani? Pahali ambapo Rais anapanga mipango ya kuipeleka nchi mbele hajapapa kipaumbele!? Then anategemea nani aje amjengee? Ikulu ni mahala patakatifu as late Kambarage insisted.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais alikuwa amepanga Nyumba ya mtu pale Bujumbura ndio akaigeuza kama ikulu.. Nilikuwa najua since way back tu kwamba Burundi hawana ikulu. I was shocked? [emoji32]Kwani kabla unadhani alikuwa anafanya kazi zake chini ya mwembe?
Ubelgiji na ufaransa mtoto wa Mjomba na mtoto wa Shangazi.Asante kwa kunijuza Sasa ikawaje wafaransa wakawa na influence huko? Unaweza niambia, hata jeshi la Rwanda lilikuwa linafunzwa na wafaransa.
Savimbi ni wa AngolaNashukuru sana kwa masahihisho yako. Hivi nchi gani in the west ambayo ilikuwa ikitawaliwa na wareno? Savimbi si alikuwa mtu wa Namibia na walipigana vita kwa muda mrefu wenyewe kwa wenyewe?
Nimekumbuka kweli aliuawa kinyama na majeshi AngolaSavimbi ni wa Angola