Rudia kusoma comment yake. Anaelezea population siyo ukubwa wa nchi.Hizo takwimu umezitoa wapi? Rwanda ina watu milioni 12 na Burundi ina watu milioni 10 na Tanzania ina watu zaidi milioni 50. Ukubwa wa nchi hauwezi kuupima kwa idadi ya watu, kwani Burundi bado ni kubwa ukilinganisha na Rwanda vile vile Kanda ya ziwa ni mikoa inayozunguka Ziwa Viktoria; Mara, Simiyu, Mwanza, Geita, Shinyanga na Kagera. Hii idadi ya watu wa mikoa yote unawezaje kulinganisha na Rwanda?