PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 826
JAMANI WENZENU WAMETOKA KWENYE VITA MNATAKA TENA WAPIMANE NGUVU KUWENI NA HURUMA BASI ANGALAU KIDOGO NAO NI BINADAMU WALE
hapa palikuwa na kampuni ya usafirishaji abiria from kg to mwanza ilikuwa inaitwa golden inter city
basi zao zilishambuliwa na risasi zaidi ya elfu mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
alikufa mtu mmoja gari ilipigwa risasi nyingi maeneo ambayo watu wasingeweza kudhurika( inadaiwa walitumiwa na baadhi ya makampuni ili kumpotezea soko mchina maana hata hawakuchukua kitu zaidi ya kuharibu gari)
alafu tabia za waha gari ikitekwa au ikipata ajari basi wanaamia kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
mchina alizidi alikuwa anatoka kigoma saa kumi na mbili na nusu then mwanza anaingia saa nane au tisaHahahaha fitna za wafanyabiashara hizo, adhima yao ilikamilika
Au ndio tabia ya watu waliowengi kwasababu tukio kama hilo linaondoa imani juu ya usafiri husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
mchina alizidi alikuwa anatoka kigoma saa kumi na mbili na nusu then mwanza anaingia saa nane au tisa
wengine wakiongozwa na saratoga wanatoka kgm saa kumi na mbili alafu mwanza wanafika saa moja mpaka saa nne
wakaona isiwe TABU akatafutiwa warundi
Sent using Jamii Forums mobile app
na walifanikiwa maana hizo basi hazipo tena (ndio zilikuwa yutong za kwanza kuingia kigoma)Hahahaha biashara ikawa chungu. ..kama wasingelimfanyia mchezo huo angetawala soko
Matokeo yake hao wamiliki wengine ongebidi waanze kupiga ruti za ndani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
na walifanikiwa maana hizo basi hazipo tena (ndio zilikuwa yutong za kwanza kuingia kigoma)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema ukweli ndio inaonekana sio Mtanzania sio. Kama ni Propaganda seme kipi nimedanganya kisha tutafute habari kutoka vyanzo vya wazi. Hata mm Kagame simpendi lakini ni ukweli jamaa yuko Smart sana na kwenye Medani za kivita na kijasusi yuko vizuri, hata wenye majukumu ya kuhakikisha Taifa tuko Salama wanalijua.
Tukisema ukweli ndio inaonekana sio Mtanzania sio. Kama ni Propaganda seme kipi nimedanganya kisha tutafute habari kutoka vyanzo vya wazi. Hata mm Kagame simpendi lakini ni ukweli jamaa yuko Smart sana na kwenye Medani za kivita na kijasusi yuko vizuri, hata wenye majukumu ya kuhakikisha Taifa tuko Salama wanalijua.