Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

JAMANI WENZENU WAMETOKA KWENYE VITA MNATAKA TENA WAPIMANE NGUVU KUWENI NA HURUMA BASI ANGALAU KIDOGO NAO NI BINADAMU WALE
 
Hahahaha fitna za wafanyabiashara hizo, adhima yao ilikamilika

Au ndio tabia ya watu waliowengi kwasababu tukio kama hilo linaondoa imani juu ya usafiri husika.
alikufa mtu mmoja gari ilipigwa risasi nyingi maeneo ambayo watu wasingeweza kudhurika( inadaiwa walitumiwa na baadhi ya makampuni ili kumpotezea soko mchina maana hata hawakuchukua kitu zaidi ya kuharibu gari)

alafu tabia za waha gari ikitekwa au ikipata ajari basi wanaamia kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha fitna za wafanyabiashara hizo, adhima yao ilikamilika

Au ndio tabia ya watu waliowengi kwasababu tukio kama hilo linaondoa imani juu ya usafiri husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
mchina alizidi alikuwa anatoka kigoma saa kumi na mbili na nusu then mwanza anaingia saa nane au tisa

wengine wakiongozwa na saratoga wanatoka kgm saa kumi na mbili alafu mwanza wanafika saa moja mpaka saa nne

wakaona isiwe TABU akatafutiwa warundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha biashara ikawa chungu. ..kama wasingelimfanyia mchezo huo angetawala soko

Matokeo yake hao wamiliki wengine ongebidi waanze kupiga ruti za ndani tu
mchina alizidi alikuwa anatoka kigoma saa kumi na mbili na nusu then mwanza anaingia saa nane au tisa

wengine wakiongozwa na saratoga wanatoka kgm saa kumi na mbili alafu mwanza wanafika saa moja mpaka saa nne

wakaona isiwe TABU akatafutiwa warundi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunaanza kutumika kuchonganisha majirani,tukidhani ya kuwa sisi tutakuwa salama muda wote.
Magomvi baina ya nchi yana vyanzo vyake,tuepuke kuwa sehemu ya vyanzo hivyo.
Wakati mwingine vyanzo vya magomvi na mifarakano uwa ni vya kutunga/njama/hujuma,hivyo kujifanya refa si sawa.
Nina hakika wananchi na viongozi wakuu nchi jirani watatumia jukwaa hili kuepuka kikombe cha,na mifereji ya damu.
 
Wewe nae propaganda nyiiingi.....au kwasababu Rwanda ndio kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema ukweli ndio inaonekana sio Mtanzania sio. Kama ni Propaganda seme kipi nimedanganya kisha tutafute habari kutoka vyanzo vya wazi. Hata mm Kagame simpendi lakini ni ukweli jamaa yuko Smart sana na kwenye Medani za kivita na kijasusi yuko vizuri, hata wenye majukumu ya kuhakikisha Taifa tuko Salama wanalijua.
 
Hahahaha mtaitunia Burundi sio sisi

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom